Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,859
- 11,637
Kitu kimoja nachokipenda kuhusu nchi yangu ni kuwa hizi battle na ligi za maneno huishia tu humu. Maisha ya kawaida watu wanashirikiana na kuelewana sana.
Ila yote ya yote, nyinyi wachaga, wahaya na wasukuma ndio makabila makubwa hapa nchini. So, ligi na utani wa jadi lazima uwepo. Heko kwa wana Vunjo!
Huwa namkubali sana Mbatia. Mtu mungwana sana huyu mheshimiwa.