Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,166
- 103,465
Sirari wala upande wa pili hakuna watu hopeless sampuli yako aisee! Halafu:mimi siwezi kuteseka na vibaka panyaroad fisiemu! 😂😂😂😂upo sawa 100% ni mkimbizi kweli toka sirari upande wa pili.... najivunia kuwa mkimbizi...
utateseka sana na ccm... utatafuta kila jina kuonesha chuki ulizo nazo Ila huto fanikiwa 100% zaidi ya kuteseka...
endelea kujitesa mkuu