Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Unazungumzia Kirua vunjo sehemu gani mkuu coz barabra ya kwenda Kirua ina lami km 8 bado tatu ifike pake centre ya Congo au unazungumzia baravara za mitaani? Hizo za mitaa ndio Mbatia abazirekebisha kwa sasa karibu vunjo December.
Mkuu achana na hawa washamba wa geita wanadhan watu wote wana akili z kuchunga ngombe
aje Kilimanjaro ajionee lami kila sehemu
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Angalieni Jiwe asijekuzichukua na kuzipangia matumizi mengine.
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo

Mhh, barabara ya km 240 jimbo moja!

Tupeni ufafanuzi.
 
Hahahah daaah, unakufaham Kirua Vunjo? Hali ni mbaya sana mkuu acha kupotosha kabisa. Watu mpaka leo hii wanaishi kwenye nyumba za mabanzi na mvua zikinyesha barabara hazipitiki kwa gari be real man.
Hebu tuambie maana tumedanganywa eti hakuna nyumba za udongo kabisa
 
Back
Top Bottom