Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mambo ya Kirua Vunjo haya, hawako nyuma.

Hiyo ni Hospital mpya ya kisasa kabisa, inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Screenshot_20180729-145438.jpg
 
Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa mAkaz bora na maish borA,geita ni ya pili kwa umaskin,
ulitaka hiyo mizigo ya watalii abebe nani? sisi sio wavivu ka nyie
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Huo moyo Wa uzalendo hongera sana watu Wa Kilimanjaro.
 
Hahahah daaah, unakufaham Kirua Vunjo? Hali ni mbaya sana mkuu acha kupotosha kabisa. Watu mpaka leo hii wanaishi kwenye nyumba za mabanzi na mvua zikinyesha barabara hazipitiki kwa gari be real man.
Unazungumzia Kirua vunjo sehemu gani mkuu coz barabra ya kwenda Kirua ina lami km 8 bado tatu ifike pake centre ya Congo au unazungumzia baravara za mitaani? Hizo za mitaa ndio Mbatia abazirekebisha kwa sasa karibu vunjo December.
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo

JPM atawaongezea kama hiyo, mfano wa kuigwa
 
Back
Top Bottom