Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Kwa hiyo? Roho inakuuma wakichanga hela? Na nyie uzeni mbuzi mjenge barabara.
Wamechangia barabara ya kutoka wapi kwenda wapi? Yaani watz wa siku hizi akiandika mchaga basi kila mtu hongera hongera! Hakuna anayeuliza 'hata kapicha' hakuna anayeuliza hata chanzo cha habari, n.k. in case hamuwajui hawa wachaga wa leo ni wapenda sifa wa kutupwa na wanapika habari na data kama jirani zao wakenya.

Alete chanzo kamili cha habari na hiyo barabara ni wapi hadi wapi. Msituletee misifa ya kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...KUNA KITU APO KWANZA KIASI KILICHOCHANGWA NI KUBWA MNO SIJUI WALIMUDU VP KUCHANGA AU KUNA MTU ANATAKASA FEDHA HAPO.PILI B7 HAINA UWEZO KUWEKA LAMI KWA KM IZO TAJWA HAPO.
Walimudu vip kuchanga??? Kwani zimeshachangwa?? Yaani wachange kimya kimya hela yote hiyo alafu mtu na username yake ya JF ndo aje kukutaarifu baada ya kukamilisha kuchanga?? Hebu tuwe watu wazima basi tusikubali kudanganywa kirahisi. Atupe chanzo cha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kirua vunjo tu kuna kirua raso,lego,kwa mare,kanji,mero na bahat mbaya hata hapo kwa mbunge mbatia rami haijafika na sio tu huyo hata mrema mwenyewe kwake marangu uomboni kiraracha rami haijafika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu acha guangalie. Ila wanajitahidi. Mchawi mpe sifa yake.

Shida yangu mimi ni chanzo cha hii habari na hiyo barabara inatoka wapi kwenda wapi. Baaasiii! Sina shida na wachaga kuchanga kufanya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vunjo ndo hakujaendelea kabisa. Senta ya PAKULA ni ya hovyo kabisa, usafiri shida mpaka PIK UP zinabeba abiria, Stendi ikiwa jirani na geti la PAKULA SEC.
Ha ha haaaa! Mkuu acha kuwaaibisha kuwaharibia uzi wenzio bhana. Washaanza kujichukulia point 3 unataka kuharibu sherehe.

Mi nataka chanzo cha hii habari na jina la hiyo barabara inayojengwa. BAAAASIII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamechangia barabara ya kutoka wapi kwenda wapi? Yaani watz wa siku hizi akiandika mchaga basi kila mtu hongera hongera! Hakuna anayeuliza 'hata kapicha' hakuna anayeuliza hata chanzo cha habari, n.k. in case hamuwajui hawa wachaga wa leo ni wapenda sifa wa kutupwa na wanapika habari na data kama jirani zao wakenya.

Alete chanzo kamili cha habari na hiyo barabara ni wapi hadi wapi. Msituletee misifa ya kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app

Povu lote hili ninkwa sababu hela zinachangwa na wananchi wanaopambana kujiletea maendeleo au ni kitu gani? Mbona huwa huulizi chanzo cha hela za kununua ndege za hapa kazi tu?

Kama imekuuma sana bugia viwembe mkuu.
 
Sasa huo ndio uongozi, huo ndio uzalendo, huo ndio uwajibikaji siyo kutwa kushindana na Takwimu au sijuwi upuuzi gani mitandaoni!
Lissu, Mdee, Zitto, Mnyika, Kubenea na wengineo mmeyasikia?!
 
Povu lote hili ninkwa sababu hela zinachangwa na wananchi wanaopambana kujiletea maendeleo au ni kitu gani? Mbona huwa huulizi chanzo cha hela za kununua ndege za hapa kazi tu?

Kama imekuuma sana bugia viwembe mkuu.
Mkuu si uweke tu chanzo cha habari!? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Kwa nini muongo Sana we mtu.unakuwa kama wakenya please nipe chanzo cha habari yako ndo tuendelee hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini muongo Sana we mtu.unakuwa kama wakenya please nipe chanzo cha habari yako ndo tuendelee hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
duh hivi wewe mtu umewehuka siku hizi?
kumbe huujui huu mradi wa vunjo wa kutengeza barabara zote za Jimbo Zima kwa fedha za wananchi ?
kwa taarifa Yako ni kuwa mradi huo ulianza mwezi wa 10,upo chini ya taasisi ya maendeleo vunjo,wananchi walihamasishwa wakachanga,kiongozi wa taasisi hiyo ni askofu mstaafu wa kkkt kaskazini dr Martin shao wenye wivu kama wewe kina DC wa moshi wakauzuia, mbatia akaenda kwa jpm kushtaki inakuaje wananchi wachange bilion 7 kujenga barabara za Jimbo Zima alafu DC azuie? Mara moja jpmakaruhusu mradi uendelee,juz wiki mbili zilizopita mbatia akizungumza na Wana vunjo ktk ukumbi was chuo Cha ualimu marangu,alisema mwezi huu mradi utaendelea
pole Sana ulidhani wachaga ni maskini ka nyie ? sisi maendeleo tunayaanza wenyewe serikali inakuja kumalizia tu pole sana
 
Kizuri chao ukiwashika pabaya wanapoteana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanajifunza misifa hawa na hawajui kanuni za misifa. Kanuni ya kujisifu ni jisifu kwa ulicho nacho! Ukijisifu kwa ulicho nacho usijali wenzio watakuonaje we jisifu tu, maana hata ukiulizwa vielelezo utakuwa navyo.

Hawa wachaga wa kileo wamezama kwenye sifa za kuiga. Mbafu kabisa. Tunataka chanzo halisi na cha kuaminika cha hii habari na jina la hiyo baeabara ya hizo km 232.

Blaza mbona maneno kibwena?? Umeombwa chanzo cha hii habari. Basiiiiiii!! Naona mtu hapa kaminywa p.u.m.b.u kwa koleo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

sasa kwa maelezo hayo hujaona chanzo chá habari?
kumbe mnaishi huko porini kwenu kyerwa ndio maana mnakuwa outdated
fuatilieni itv iliripoti hii habari
sisi sio maskini kama nyie tunachanga ma bilion
 
Kizuri chao ukiwashika pabaya wanapoteana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanajifunza misifa hawa na hawajui kanuni za misifa. Kanuni ya kujisifu ni jisifu kwa ulicho nacho! Ukijisifu kwa ulicho nacho usijali wenzio watakuonaje we jisifu tu, maana hata ukiulizwa vielelezo utakuwa navyo.

Hawa wachaga wa kileo wamezama kwenye sifa za kuiga. Mbafu kabisa. Tunataka chanzo halisi na cha kuaminika cha hii habari na jina la hiyo baeabara ya hizo km 232.

Sent using Jamii Forums mobile app
chanzo chá habr ni itv
fuatilia taarifa ya hbr ya TAREHE niliopst hii thread
2_hizo km 232 ni barabara zote za vijijin za Jimbo Zima la vunjo zinazopitiwa na huo mradi
kwa ushahidi zaidi naomba uje vunjo ujionee
4_ usidhan kwamba mnapotoa hoja hapa tukachelewa kuzijibu kwamba tumeshundwa la hasha huwa tuna majukumu mengi nitajibu kila hoja kadri muda utavyoniruhusu
5_sisi Wana Kilimanjaro ni jadi yetu kuchangia maendeleo tangu Uhuru Wala hivyo vi bilion 7 tulivyochanga visikupe kiwewe,mkoa wetu ndio unaongoza kitaifa kuwa na secondary nyingi ,Moshi DC ndio wilaya yenye shule nyingi za misingi tz hii ilitokana na michango Kama hii kwa wananchi then serikali kupiga tafu kidgo tu
 
Mkuu taja tarehe wewe watu tuitafute taarifa ya habari. Ikiwezekana tupe na clip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom