Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mimi ni msukuma halisi kabisa. Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Uliposema wewe ni msukuma nikalikumbuka jiwe. Kwa kifupi mmetofautiana kidogo sana akili zenu na roho zenu za kwanini!!
 
Unaifaham barabara ya kilema?, sembeti road? Mimi nasema ukweli maana nipo huku for some years sio vinginevyo mkuu.
Kaka huko wanajitahidi sana. Na sehemu zenye Barbara za shida kidogo in vijiji vinavyoelekea maeneo ya miinuko na vinasababishwa na kupita kwa magari mengi hasa Lori za mchanga na tax zinazobeba abiria kupeleka vijijini.. Mchakato walioanzaha kina mbatia wakishirikiana na makanisa, serikali za kata na vijiji pamoja na wadau wa maendeleo ni jambo la kuigwa na funzo kwa serikali kuhusu wajibu wake kwa wananchi, ubaguzi, na uwezo was wananchi wakihamua jambo.
 
Mimi ni msukuma halisi kabisa. Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Sawa hata london kuna ombaomba na vijana wazururaji ila ni sawa na dar?au hata wazungu kuna maskini ambao hawapati mahitaji muhimu je ni sawa na waafrika? Unadhani Marangu ni sawa na huko vijiji vya usukumani kwenu
 
Back
Top Bottom