Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Hebu leta maprofesa wachaga Nami nilete wahaya[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kuwa na maprofesa wengi ndo kabila kuwa na wasomi wengi ,ok hata iq zenu huwa ndogo kwa ukanda wenu wenye akili huwa waha na wakerewe tu,wachaga waliwahi mambo ya elimu kaka wahaya ni kabila dogo ukienda mtwara wachache sana na ni walimu shule za msingi ,ila wachaga ndo wanaendesha uchumi ,nilishangaa eti hata kigoma matajiri wakubwa ni wachaga na watusi wanaojifanya waha
 
kwani kuwa na maprofesa wengi ndo kabila kuwa na wasomi wengi ,ok hata iq zenu huwa ndogo kwa ukanda wenu wenye akili huwa waha na wakerewe tu,wachaga waliwahi mambo ya elimu kaka wahaya ni kabila dogo ukienda mtwara wachache sana na ni walimu shule za msingi ,ila wachaga ndo wanaendesha uchumi ,nilishangaa eti hata kigoma matajiri wakubwa ni wachaga na watusi wanaojifanya waha
Mi hata sijaelewa unaongea nini.unatetea nini ? Unajikanyaga na kujichanganya mwenyewe.nani asiyejua kuwa mkoa WA kagera unatoa watu wenye IQ kubwa kuliko mkoa wowote ule bongo? Waha sijui wakerewe labda uwalinganishe na wachaga.fuatilia vizr huu Uzi tangu mwanzo .watu wenye akili kama zako wameumbuka na kukimbia tayari.baada ya kuona hospital,shule na majumba yalioko vijijini.mwanza wahaya ndo wameishikiria kama uamini angalia interaction iliyopo kati ya mwanza na bk.bado dar hapo.halafa Acha kuongea Kwa maneno leta fact .tuanze na bukoba tu.nitajie kampuni, ghorofa, supermarket.shule nk nk vinavyomilikiwa na wachaga
Screenshot_20190127-181357.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna mtu anadanganya mwenzie, sii kweli Kilimanjaro imeendelea hivyo wanavyosema sii kweli hata kidogo. Na ni hatari kwao, inamaanisha Serikali haina haja tena ya kuiendeleza Kilimanjaro huu ni uongo wa juu kabisa. Kilimanjaro Wilaya zake zote hazina hata Hospitali za Wilaya za serikali kama ilivyo kwa Mikoa mingine. Vijihospitali vya methehebu ya dini ndio zimeachiwa zifanye kazi kama hospitali za Wilaya hii si sawa. Kuna km nyini sana za barabara za vijijini hazipitiki kabisa ni shida. Umaskini umetamalaki Kilimanjaro baada ya zao lao la kahawa kupoteza muelekeo. Watu wa Kilimanjaro wasipoteshe umma ukweli wanajiharibia wenyewe. Kuchangia maendeleo yao ni jambo zuri la kuungwa mkono.
Usikurpuke hakuna aliyewahi sema moshi n ulaya bali kwatz moshi imeendelea naomba niletee habari inayosema moshi barabara hazipitiki na ujue moshi umaskini n mdogo na n tofauti na huo wa kagera in case kama ulikuwa hujui hata muhimbili ilikuwa n ya kanisa i think hata bugando na pia kcmc cha mwisho klmanjaro kuna changamoto kama sehemu zingine zilivo afu ujinga n pale unapoaminisha watu kuwa klmnjro wanategemea kahawa wakati utawala wa uchumi wa kahawa ulishaisha 80 uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu leta maprofesa wachaga Nami nilete wahaya[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahisi unapanick tokea mwanzoni nlikuambia wahaya wanaelimu kubwa za pro ila wachaga ni asilimia kubwa wenye elimu mnoooo kuliko wahaya afu apo uliposema wahaya eti koo zote watu wamemaliza form four tupaache kwa sababu hata kabila dogo kama la kikwete bado kuna watu hawana elimu ya saba usitake kuwa superior

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hata sijaelewa unaongea nini.unatetea nini ? Unajikanyaga na kujichanganya mwenyewe.nani asiyejua kuwa mkoa WA kagera unatoa watu wenye IQ kubwa kuliko mkoa wowote ule bongo? Waha sijui wakerewe labda uwalinganishe na wachaga.fuatilia vizr huu Uzi tangu mwanzo .watu wenye akili kama zako wameumbuka na kukimbia tayari.baada ya kuona hospital,shule na majumba yalioko vijijini.mwanza wahaya ndo wameishikiria kama uamini angalia interaction iliyopo kati ya mwanza na bk.bado dar hapo.halafa Acha kuongea Kwa maneno leta fact .tuanze na bukoba tu.nitajie kampuni, ghorofa, supermarket.shule nk nk vinavyomilikiwa na wachagaView attachment 1022082

Sent using Jamii Forums mobile app
Oky tufanye umeshinda mkuu kwa sababu unajaziba hauna tofauti na mtu anayesema wachaga tunakila kitu tz wasukuma wanatushinda kwa idadi na ww ndio utakachosema kwamba wachaga hawataushindi chochote wahaya zaidi ya idadi ya watu wote mnakuwa n superiority ila ukiwa sio superior kuna sehemu utasema hapa mmetuzidi hapa hamjatuzidi kwa sababu hata ukija mtaani huwezi kuta watu wanasifia wachaga eti wamesoma sana ila sifa utakuta n wapiga kazi na watafuta pesa ila ukienda kwa watu watakuambia wanyakyusa na wahaya ni wasomi ila ww unataka vyote ukae navyo so tufanye umeshinda na hio n concept yakawaida hata huku mtaani wanasema coz wanajua sasa ww unataka kutuambia uchumi wa mwanza na dar wote ni wenu Kati inajulikana matajiri wenye ngozi nyeusi tz almost wengi n wachaga sasa tufunge mjadala nyie mnaelimu wahaya wote wanaelimu ya form four expect dada wa mke wangu yeye ana ya lasaba ila yuko bright pili nyie uchumi wa tz uko kiganjani kwenu yani tz haifurukuti bila wahaya na tufanye mnashule nyingi sanaaaa na hospital nyingi mnoo afu umaskini wenu ni 0.75% ni mdogo mnoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nahisi unapanick tokea mwanzoni nlikuambia wahaya wanaelimu kubwa za pro ila wachaga ni asilimia kubwa wenye elimu mnoooo kuliko wahaya afu apo uliposema wahaya eti koo zote watu wamemaliza form four tupaache kwa sababu hata kabila dogo kama la kikwete bado kuna watu hawana elimu ya saba usitake kuwa superior

Sent using Jamii Forums mobile app
Weakness kubwa mlionayo wachaga ni kuongea Kwa hisia sio uhalisia.tutawaaminije bila kutupa fact zinazoeleweka ndo maana mnashindwa katika mijadala mingi mnayooianzisha wenyewe kuponda wahaya .hebu niletee fact inayoonyesha wachaga wanaelimu mno kuliko wahaya.mi nakuletea fact hiyo hapo Kwa kuwaangalia washind katika matokeo ya secondary Kwanza ni wengi na idadi ya zero ni chache kulinganisha na wachaga na KLM yao ukibisha nitakuona waajabu.mfano Hilo jedwali la pili washindi Kwa kagera ni zaidi ya 60000 wakati wa KLM ni 30000 nusu kabisa halafu Una ubavu gani wa kusema KLM wasomi wengi wakati data hiz hapo
Screenshot_20190213-205923.jpeg
tapatalk_1550082277273.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weakness kubwa mlionayo wachaga ni kuongea Kwa hisia sio uhalisia.tutawaaminije bila kutupa fact zinazoeleweka ndo maana mnashindwa katika mijadala mingi mnayooianzisha wenyewe kuponda wahaya .hebu niletee fact inayoonyesha wachaga wanaelimu mno kuliko wahaya.mi nakuletea fact hiyo hapo Kwa kuwaangalia washind katika matokeo ya secondary Kwanza ni wengi na idadi ya zero ni chache kulinganisha na wachaga na KLM yao ukibisha nitakuona waajabu.mfano Hilo jedwali la pili washindi Kwa kagera ni zaidi ya 60000 wakati wa KLM ni 30000 nusu kabisa halafu Una ubavu gani wa kusema KLM wasomi wengi wakati data hiz hapoView attachment 1022092View attachment 1022093

Sent using Jamii Forums mobile app
Yasi umeshinda mkuuu hongereni bana ila nakukumbusha population ya kagera n kubwa kuliko ya klmnjro na pia kilmanjaro wenyeji 50% hawapo hio nayo omba data na kingine huu uzi haukuanzishwa ili tushindane mwenye mada alileta habari ili wachaga na wapare tujue maendeleo yote ila nyie mkaleta ushindani na ukisoma kwanzia mwanzo nyie ndio mlioleta ushindani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yasi umeshinda mkuuu hongereni bana ila nakukumbusha population ya kagera n kubwa kuliko ya klmnjro na pia kilmanjaro wenyeji 50% hawapo hio nayo omba data na kingine huu uzi haukuanzishwa ili tushindane mwenye mada alileta habari ili wachaga na wapare tujue maendeleo yote ila nyie mkaleta ushindani na ukisoma kwanzia mwanzo nyie ndio mlioleta ushindani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba data zinazoonesha population ya wachagga ni wengi kuliko wahaya hapa tz
 
Mkuu naomba data zinazoonesha population ya wachagga ni wengi kuliko wahaya hapa tz
Hamna mkuu nyie n wengi mkuu kuliko wasukuma kuliko wanyamwexi kuliko wachaga nyie mko karibia nusu ya tz ni wahaya hongereni sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa ni kushimdanisha mbingu na arthi moshi matokeo ya form four na six always kimkoa iko top 3 kagera sijui ikogo wp shule iwe ghororfa iwe ya chini shida n quality sio majengo marefu kuna hotel zina majengo 10 kwenda juu na kuna lodge ziko huko ngorongoro hazina hata ghorofa lakini kaulize bei yan in general klmanjaro ndio inaongoza kwa ufaulu na kwa kuwa na shule nyingi tz nzima za sekondari haihitaji ujuaji hii imekishwa kama unabisha fanya kama unajikuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwamba hujaelewa nlichokiandika au cha kwanza sikumention primary school cha pili shule kua bora haimaanishi mkoa n bora nakupa mfano mbeya juzi 4m4 st françis ndio ilikuwa ya kwanza kitaifa lakini kimkoa mbeya ilikuwa ya nne au tano kama sikosei na pia best student hakutokea kwenye hio shule alitokea ilboru na iliboru ikawa ya 33 kitaifa so issue ilioko hapa ni idadi na wingi ndio unaonyesha elimu kwenye jamii ndio maana nkasema wahaya wanaelimu kubwa most are profe wachaga n vice versa wengi wanaelimu kwa ngazi ya dip na degree wengi mnoo wakimaliza wanafuta mbishe hawakomalii darasani kwa io hapo ukipima utakuta wahaya wanawatu wengi waliosoma kwa ngazi kubwa ila jamii yao kubwa haina elimu lakini wachaga wachache wanaelimu kubwa lakini wengi wa jamii yao iko educated kwa ngazi za chini kama dip ,cert,degree and some master

Sent using Jamii Forums mobile app
Asipokuelewa hapa itatkuwa afanyiwe operation ya ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napia utazame idadi ya wanafunzi please na ulinganishe na Kilimanjaro.fanya research tena Kwa kagera please .msijione Bora bro fanyeni research Kwanza mnazidiwa mbali na wahaya.tena upande huo ndo usiongee kabisaView attachment 1021685

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio umechanganyikiwa Sasa matokeo ya la saba mmekuwa 1 Kilimanjaro ya 3
Form four Kilimanjaro ya 1 kagera ya 8 Nan kapigwa chini hapo? Check gape nililokuacha
mhaya kumpita mchaga Ni ndoto
Idadi ya wanafunz sio tija Kwan tumewaomba mzaliane Kama kuku? Igeni uzazi wa mpango wa wachaga tunazaa kwa mpango ndio maana huwezi sikia Kilimandjaro tuna uhaba wa Madarasa hata cku moja
Kilimanjaro madarasa mengine yapo tu wanalalia mijusi
FB_IMG_15484331604392327.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hata ujaelewa jamaa kamanisha nini..? Ndo maana tunaona usomi wenu haujawakomboa kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia Hakuna hoja hata moja amemjibu huyo bwana zaidi ya kuweweseka
Huko uhayani si lolote si chochote uzuri mmoja nishafika huko
Hawa huwa Ni maji proud tu Ila Hakuna idara yoyote wanaweza jilinganisha na mchaga
Kwenye elimu ,uchumi, maendeleo hawatakaa watufikie kamwe
Kule uchagani Ka kijana kenye miaka 25 kanamiliki bodaboda 7
Mijengo 3 yakifahari na biashara kadhaa ukienda uko uhayan Hakuna mzunguko wa hela wenyewe wanategemea kuvua visamaki na kuuza ndizi tu ndio maana unakuta duka kubwa kijijin mtaji Ni milion 3 hahaha ndio tajiri wa kijii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilikutajia elimu za sec na high level shule za msingi nayo n matokeo ya kujisifu lete ya sec kimkoa utaelewa coz sec na high huku ndio kuna misuli msingi ile n kujifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie asome hapa
Yaan hajui kuwa form four ndio injini ya matokeo?
Na hata huko msingi Kilimanjaro hatuko nyuma maana tupo namba 3
FB_IMG_15484331604392327.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom