Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

watoto kuhitimu wengi hakumaanishi mko makini ,kunamaanisha hamzingatii uzazi wa mpango illiterate indigenous people ,unaanzaje kufananisha bukoba na moshi mpaka leo mji umejaa mabarabara ya vumbi ,changieni ninyi hata bil 1 tuone
Hahaha nishamjibu kuwa ni uzwazwa wao kuzaa watoto wengi
Waje Kilimandjaro tuwafundshe uzazi wa mpango alafu wanajiita eti wasomi hahaha kuna msomi anazaliana kama panya?
Kilimanjaro haiwez kuwa na uhaba wa Madarasa hata cku moja maana tulijenga tangu cku nyingi
Kagera watoto 14 elfu wameshindwa kwenda secondary kisa uhaba wa Madarasa
Wasomi gan Hawa wanazaliana hivi? Hahaha hawana kitu mkuu Ni mbwembwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie barabara moja ya vumbi mjini bukoba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ikiwepo natoka kabisa jamiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa bukoba mjini hahaha iogope teknolojia mkuu
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlichokiandika naona hujakielewa hata kidogo first nimeongelea elimu za watu wazima mean sec na high izo ndio zinazoeleweka kimatokeo hata mtu akifeli la saba sa hv dunia inamshangaa lakini akifeli fomr four haimshangai sana mean elimu ipo huku juu mnaweza mkawa wa kwanza kitaifa kwa sababu ya idadi ya wanafunzi ni wengi ila ukumbuke wachaga 50% na zaidi hawakai kilimnjaro wote wako distributed tofauti na wahaya ambao wako sehemu moja hamjasambaa nipo mbeya lakini kwa mtaa wetu hakuna mhaya hata mmoja kuna wasukuma wachaga na wenyeji wanyakyusa so key poin yangu leta ufaulu wa sec alafu uje wa high school afu unijibu nlivokuambia kwamba wahaya elimu haijawasaidia walionayo ni wacahache na wamesoma sana lakini kwenye jamii sio wengi wamesoma tofauti kabisa na wachaga ambao hata kukuta mtu n prof n adimu lakini ukija kwenye jamii yao n educated kwa kuwa wengi wana elimu na sio kubwa ila n educated society hata mtu mwenye certifucate n educated man na ndio maana wachaga jamii kubwa haina umasikini yani ukipiga hesabu kilimanjaro ina watu laki mbili wanaoishi chini ya dola moja sawa na 14 per cent ila kagera ni sawa na milioni 1 na kitu ni maskini chini ya dola moja ndio sawa na 36 per cent na hapo ujue wachaga ni wengi kuliko wahaya na cha mwisho elimu inaonesha efffect kwa jamii kwa kuounguza umaskini na kuketa maendeleo na jiwe mwenyewe alisema kaskazini kumeendelea sana yeye mwenyewe alikiri japo changamoto zipooooo .

Sasa mkuu ole wako ufanye kama unajikuna afu demu angu ni mhaya pia na very bright mpaka raha so comb ya mchaga na mhaya sa hv tunaunda bomu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazani umeelewa point angu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umempa za uso hatari hahaha sijui kama atarudi tena ngoja nitoe documents kusisitiza maelezo yako
FB_IMG_15020060897734219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na ww unajisifu kuchangia kwenye tamasha watu hata huku mbeya matamasha yapo na tunachangia maendeleo ya shule na vitu vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wamechanga Milon 1 n'a nusu ndio wanaona ni héla hahaha
Wakati vunjo tumechanga bilion 7 tunaona ni kawaida hahaha hawa wahaya wanackekesha
mkuu mm Pia mbeya nimeishi miaka 7 na nimepiga kitabu pale must
Kwakweli kule wachaga wamejaa wengi Ni ma boss wa taasisi na wafanyabiashara mchaga hakosekan popote tz


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar na ukubwa wake vumbi lipo la kutoshaaaaaaaa bukoba ndio mbinguni pasiwe na lami au chini kuna sehemu lukuki hawana lami na hata katika halmashauri kumi zenye road network kubwa ya lami bado haipo hio

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ngoja nikusaidie hii hapa barabara huko bukoba mjini mm uzuri mmoja kagera nimefika na nimetembea uhayan hasa muleba
Muleba naijua kwa 70% hadi kule visiwan rwazi,ikuza,mazinga na kerebe nimefika wahaya bado wapo nyuma mno
tapatalk_1548810371901.jpeg
tapatalk_1548810345452.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujataja barabara bado.nipe walau moja Tu.katika tarafa Zote mbili kashai na Rwamishenye zinazounda manispaa ya bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
Rwamishenye hiii hapa barabara mbovu kbs Pia rwamishenye nilishuhudia watu wanapasua mbao
Imagine mjini watu wanapasua mbao hahaha wahaya ni washamba hatari ndio maana hadi mjin unakuta wanapiga kilugha utazan wapo kijijin kiufupi bk haifai hata kuitwa mji
Ukifika bk mjin huwez jua kama upo mjin yaan kihaya mwanzo mwisho
Sijawahi ona mji wowote hii
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema nikuletee ya form four.umeyaona? Kwanza kagera haijawahi kabisa toka ten best.na kila top ten lazima wahaya ukute walau watatu.hii ndo sababu ya mkoa wa kagera kusifika Kwa elimu nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kilimanjaro ambayo licha ya kuwepo top 5 Kila mwaka,imekuwa ya 1 Mara 3 mfululizo tusemeje?
Hahaha
FB_IMG_15484331604392327.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhakikishe mnapata mkandarasi mzalendo wa kirua ajenge barabara hiyo kwa viwango .
 
Sijawahi fika bukoba huo n ukweli ila pia siwezi poteza mda kugoogle ili nije nkukomoe tatu maendeleo ni kuwa na literate people na low level of poverty nne barabara iwe ya lami au korosho muhimu ni upitikaji wake through the year dsm road zipo nzuri ila mvua ikinyesha hazipitiki tano kukubali ukweli ni vizury wahaya najua na nnakubali ni literate people wanajua na wanauwezo wa kusoma ila hawakuwa wamepata elimu sana tofauti na sa hv elimu uko ndio imeashamiri mnooo ndio maana ata primary wanamaliza wanajitahidi mnoooo ila ukweli mwingine n kwamba bado jamii ya wahaya ina umaskini kuliko wachaga hio n data zinatuambia lakini pia ujue wachaga elimu kitambo walishakuwa nayo na ndio kanda ya kwanza kupokea elimu from missionary .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm bukoba nimefika,muleba nimefika ushahidi huu hapa
Hii ni barabara iliyopo rwamishenye bk mjini icheck
Pia nilikuta watu wanapasua mbao mjin huko rwamishenye hahaha
Alafu ukiwa bk mjin utadhan upo kijijn maana wanaongea kihaya tu hawajui hata hadhi ya mji
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida sio n ya ngapi shida wametoka wangapi wanafunzi nnachomaanisha hata kama wana three wote ila ni wangapi wameingia mtani as educated people na hapo mwanga n ya mwishoni ila imetoa watu 3000+ waliomaliza while bukoba n ya pili imetoa 2000+ see the difference mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu kisomi mno mkuu kunywa walau balimi mbili hapo mbeya canival

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejichanganya mwishoni hapo.bukoba tangu 1904 ilishakua na shule mfano Rubya seminary. Hebu nawe nitajie shule kongwe mkoani Kilimanjaro kama mlipokea elimu kutoka mapema? Pia mkoa wa kagera unaonekana maskini Kwa sababu ya baadhi ya wilaya zake.mkuu ukifika biharamulo unaweza kulia ni maskini mno na takwimu zinasema zaidi ya Asilimia 65 wanaishi katika umaskini mkubwa pamoja na majirani zao kakonko huko kigoma na Sisi tunaona.wilaya ya ngara nayo inaumaskini pia hivyo wilaya hizi zikijumuishwa na wilaya za wahaya misenyi, bukoba na muleba ambazo ziko mbali Sana kimaendeleo na ndo zimeelimika mkoa mzima wa kagera unaonekana maskini.but 2020 naskia biharamulo zitamegwa kutengenezwa mkoa wa Rubondo hivyo karaha itaondolewa.hebu fuatilia takwimu za kiwilaya utazame hizo wilaya nilizokutajia

Sent using Jamii Forums mobile app
1 old Moshi sec imejengwa 1890's
2_hoja ya kagera kuwa maskini sii tu biharamulo inawaharibia Bali hata wilaya zenu
Mbna Sisi Kilimandjaro hatuibagui same na mwanga na bado tumeendelea kupeta? Je tungeondoa same na mwanga ingekuwaje? Kilimanjaro tupo vizuri wilaya zote sio kama nyie mnabagua infact mhaya kwa maendeleo bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom