instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,610
- 19,807
Usirudie tena kuandika uliyoyaandikaNi kwamba hujaelewa nlichokiandika au cha kwanza sikumention primary school cha pili shule kua bora haimaanishi mkoa n bora nakupa mfano mbeya juzi 4m4 st françis ndio ilikuwa ya kwanza kitaifa lakini kimkoa mbeya ilikuwa ya nne au tano kama sikosei na pia best student hakutokea kwenye hio shule alitokea ilboru na iliboru ikawa ya 33 kitaifa so issue ilioko hapa ni idadi na wingi ndio unaonyesha elimu kwenye jamii ndio maana nkasema wahaya wanaelimu kubwa most are profe wachaga n vice versa wengi wanaelimu kwa ngazi ya dip na degree wengi mnoo wakimaliza wanafuta mbishe hawakomalii darasani kwa io hapo ukipima utakuta wahaya wanawatu wengi waliosoma kwa ngazi kubwa ila jamii yao kubwa haina elimu lakini wachaga wachache wanaelimu kubwa lakini wengi wa jamii yao iko educated kwa ngazi za chini kama dip ,cert,degree and some master
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app