Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Halmashauri ya mwanga Ni ya ngapi? Na je mwaka 2017na 2018 ni ya ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida sio n ya ngapi shida wametoka wangapi wanafunzi nnachomaanisha hata kama wana three wote ila ni wangapi wameingia mtani as educated people na hapo mwanga n ya mwishoni ila imetoa watu 3000+ waliomaliza while bukoba n ya pili imetoa 2000+ see the difference mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu chukua hapo ulinganishe idadi ya zero Kati ya bukoba na moshi.bukoba zero ni 58 wakati moshi ni zaidi ya Mia tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona ila ukichukua hao buku mbili wa bukoba ukitoa hizo zero idadi utakayobakiwa nayo ukachukua wanafanzi wa moshi ukatoa zero idadi utayobakiwa nayo bado wa moshi ni wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie barabara moja ya vumbi mjini bukoba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ikiwepo natoka kabisa jamiii

Sent using Jamii Forums mobile app
1550121770564.png

nadhani nikuulize wewe nioneshe lami yeyote hapo ,kisha angalia unacholinganisha nacho hapa chini

1550121847760.png
moshi mjini

1550121925593.png
moshi mjini
 
Sijawahi fika bukoba huo n ukweli ila pia siwezi poteza mda kugoogle ili nije nkukomoe tatu maendeleo ni kuwa na literate people na low level of poverty nne barabara iwe ya lami au korosho muhimu ni upitikaji wake through the year dsm road zipo nzuri ila mvua ikinyesha hazipitiki tano kukubali ukweli ni vizury wahaya najua na nnakubali ni literate people wanajua na wanauwezo wa kusoma ila hawakuwa wamepata elimu sana tofauti na sa hv elimu uko ndio imeashamiri mnooo ndio maana ata primary wanamaliza wanajitahidi mnoooo ila ukweli mwingine n kwamba bado jamii ya wahaya ina umaskini kuliko wachaga hio n data zinatuambia lakini pia ujue wachaga elimu kitambo walishakuwa nayo na ndio kanda ya kwanza kupokea elimu from missionary .

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejichanganya mwishoni hapo.bukoba tangu 1904 ilishakua na shule mfano Rubya seminary. Hebu nawe nitajie shule kongwe mkoani Kilimanjaro kama mlipokea elimu kutoka mapema? Pia mkoa wa kagera unaonekana maskini Kwa sababu ya baadhi ya wilaya zake.mkuu ukifika biharamulo unaweza kulia ni maskini mno na takwimu zinasema zaidi ya Asilimia 65 wanaishi katika umaskini mkubwa pamoja na majirani zao kakonko huko kigoma na Sisi tunaona.wilaya ya ngara nayo inaumaskini pia hivyo wilaya hizi zikijumuishwa na wilaya za wahaya misenyi, bukoba na muleba ambazo ziko mbali Sana kimaendeleo na ndo zimeelimika mkoa mzima wa kagera unaonekana maskini.but 2020 naskia biharamulo zitamegwa kutengenezwa mkoa wa Rubondo hivyo karaha itaondolewa.hebu fuatilia takwimu za kiwilaya utazame hizo wilaya nilizokutajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida sio n ya ngapi shida wametoka wangapi wanafunzi nnachomaanisha hata kama wana three wote ila ni wangapi wameingia mtani as educated people na hapo mwanga n ya mwishoni ila imetoa watu 3000+ waliomaliza while bukoba n ya pili imetoa 2000+ see the difference mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini angalia idadi ya zero pia please sio waliomaliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1021947
nadhani nikuulize wewe nioneshe lami yeyote hapo ,kisha angalia unacholinganisha nacho hapa chini

View attachment 1021948moshi mjini

View attachment 1021951moshi mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ulichokipost na sewa na nitakachokuonesha hapo chini.hebu nioneshe lami yoyote kwenye mji wa dar.halafu bado hujui kutofautisha aina za picha? Distance nk nk .pia unatuletea bukoba 1990snakushangaaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejichanganya mwishoni hapo.bukoba tangu 1904 ilishakua na shule mfano Rubya seminary. Hebu nawe nitajie shule kongwe mkoani Kilimanjaro kama mlipokea elimu kutoka mapema? Pia mkoa wa kagera unaonekana maskini Kwa sababu ya baadhi ya wilaya zake.mkuu ukifika biharamulo unaweza kulia ni maskini mno na takwimu zinasema zaidi ya Asilimia 65 wanaishi katika umaskini mkubwa pamoja na majirani zao kakonko huko kigoma na Sisi tunaona.wilaya ya ngara nayo inaumaskini pia hivyo wilaya hizi zikijumuishwa na wilaya za wahaya misenyi, bukoba na muleba ambazo ziko mbali Sana kimaendeleo na ndo zimeelimika mkoa mzima wa kagera unaonekana maskini.but 2020 naskia biharamulo zitamegwa kutengenezwa mkoa wa Rubondo hivyo karaha itaondolewa.hebu fuatilia takwimu za kiwilaya utazame hizo wilaya nilizokutajia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nifatilie kama ntapata japo hio ya mkoa mpya niliwahi isikia ila sijaverfy ila pia moshi wilaya zenye umaskin n same na mwanga hao wanatuangusha wengine ila pia umaskin wao hautishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini angalia idadi ya zero pia please sio waliomaliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiangalia mkuu ila still ww una watoto kumi mmoja kamaliza form four ana one wengine wameishia la saba alafu mm nna watoto watano wanne wamameanlza na div 3 mmoja ana zero ujue mm ntakuwa nna literate people watatu while ww unammoja ila ni kichwa ichi ndio nnamanisha nnaposema wahaya mnauwezo wa kielimu na waliosoma wanaelimu kubwa hadi raha ila chaga wacahche wanaelimu kubwa ila sehemu kubwa ya chaga kama kabila wana elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maghorofa yameziba lami ,wenu barabara za vumbi ni wazi
View attachment 1021970

kimapato arusha ni ya 3 kilimanjaro ni ya 6 lakini kagera ni ya 19 unaanzaje kufananisha mbingu na ardhi
Ingawa hiyo picha ni ya miaka ya 90 Ila sio barabara yoyote hapo .pia hilo eneo ulilozungushia Lina MTO maarufu kama kanoni ni kama unavyoona MTO msimbAzi hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maghorofa yameziba lami ,wenu barabara za vumbi ni wazi
View attachment 1021970

kimapato arusha ni ya 3 kilimanjaro ni ya 6 lakini kagera ni ya 19 unaanzaje kufananisha mbingu na ardhi
Alafu hili nlisahau kuongea wachaga ni kabila kubwa na ndio limesambaa zaidi ukiwa unalinganisha wachaga utagusa karibia kila mkoa tz ila kama unailinganisha kilmanjaro hulinganishi wachaga wote coz more tha half ya wachaga wako mikoani hata hapo bukoba ngoja ntafute list ya ma mangi waliopo hapo tujue kama uchumi wa bukoba n wahaya au wa wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiangalia mkuu ila still ww una watoto kumi mmoja kamaliza form four ana one wengine wameishia la saba alafu mm nna watoto watano wanne wamameanlza na div 3 mmoja ana zero ujue mm ntakuwa nna literate people watatu while ww unammoja ila ni kichwa ichi ndio nnamanisha nnaposema wahaya mnauwezo wa kielimu na waliosoma wanaelimu kubwa hadi raha ila chaga wacahche wanaelimu kubwa ila sehemu kubwa ya chaga kama kabila wana elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama vizuri matokea haya yaanalyze vizuri linganisha kagera na Kilimanjaro .Tazama idadi,na,waliofaulu.wanafunzi wa kagera ni wengi na bado wanafaulu ni wengi.ndo maana uhayani ukoo wenye watu wasiomaliza angalau form four hazipo kabisa.na sasa form six ndo zimebaki koo chache kabisa zilizo na watu wasiofika level hiyo
Screenshot_20190213-205923.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna mtu anadanganya mwenzie, sii kweli Kilimanjaro imeendelea hivyo wanavyosema sii kweli hata kidogo. Na ni hatari kwao, inamaanisha Serikali haina haja tena ya kuiendeleza Kilimanjaro huu ni uongo wa juu kabisa. Kilimanjaro Wilaya zake zote hazina hata Hospitali za Wilaya za serikali kama ilivyo kwa Mikoa mingine. Vijihospitali vya methehebu ya dini ndio zimeachiwa zifanye kazi kama hospitali za Wilaya hii si sawa. Kuna km nyini sana za barabara za vijijini hazipitiki kabisa ni shida. Umaskini umetamalaki Kilimanjaro baada ya zao lao la kahawa kupoteza muelekeo. Watu wa Kilimanjaro wasipoteshe umma ukweli wanajiharibia wenyewe. Kuchangia maendeleo yao ni jambo zuri la kuungwa mkono.
 
Mi nawashangaa kabisa. Bora ukaonekana maskini ili uzidi kupendelewa zaidi na kufanyiwa makubwa zaidi kuliko kuonekana umeendelea na kuachwa hivyohivyo.wanajiaribia wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna mtu anadanganya mwenzie, sii kweli Kilimanjaro imeendelea hivyo wanavyosema sii kweli hata kidogo. Na ni hatari kwao, inamaanisha Serikali haina haja tena ya kuiendeleza Kilimanjaro huu ni uongo wa juu kabisa. Kilimanjaro Wilaya zake zote hazina hata Hospitali za Wilaya za serikali kama ilivyo kwa Mikoa mingine. Vijihospitali vya methehebu ya dini ndio zimeachiwa zifanye kazi kama hospitali za Wilaya hii si sawa. Kuna km nyini sana za barabara za vijijini hazipitiki kabisa ni shida. Umaskini umetamalaki Kilimanjaro baada ya zao lao la kahawa kupoteza muelekeo. Watu wa Kilimanjaro wasipoteshe umma ukweli wanajiharibia wenyewe. Kuchangia maendeleo yao ni jambo zuri la kuungwa mkono.
Kahawa ziling'olewa kabisa, watu wako flexible kuna vitu vingine vyenye faida wanafanya,umaskini ulioko KLM ni tofaut na umaskin ulioko kagera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hili nlisahau kuongea wachaga ni kabila kubwa na ndio limesambaa zaidi ukiwa unalinganisha wachaga utagusa karibia kila mkoa tz ila kama unailinganisha kilmanjaro hulinganishi wachaga wote coz more tha half ya wachaga wako mikoani hata hapo bukoba ngoja ntafute list ya ma mangi waliopo hapo tujue kama uchumi wa bukoba n wahaya au wa wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka Great Jay umenena vyema hata bukoba mjini uchumi unaendeshwa na wachaga ,bandari mizigo nusu yao ,kariakoo ni moshi nyingine ,tunduma kidogo wakinga wanaleta upinzani ,lakini wahaya wao watu wa madegree tuu ambayo nako wachaga ndo wamedominate
 
Bukoba mjini kuna ghorofa,jengo,shule, supermarket,nk vinavyomilikiwa na mchaga? Nitajie walau kimoja Tu? Acheni sifa za uongo nyie tutawaumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka Great Jay umenena vyema hata bukoba mjini uchumi unaendeshwa na wachaga ,bandari mizigo nusu yao ,kariakoo ni moshi nyingine ,tunduma kidogo wakinga wanaleta upinzani ,lakini wahaya wao watu wa madegree tuu ambayo nako wachaga ndo wamedominate
Hebu leta maprofesa wachaga Nami nilete wahaya[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom