Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ulichokipost na sewa na nitakachokuonesha hapo chini.hebu nioneshe lami yoyote kwenye mji wa dar.halafu bado hujui kutofautisha aina za picha? Distance nk nk .pia unatuletea bukoba 1990snakushangaaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni rwamishenye unasemaje ?
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nifatilie kama ntapata japo hio ya mkoa mpya niliwahi isikia ila sijaverfy ila pia moshi wilaya zenye umaskin n same na mwanga hao wanatuangusha wengine ila pia umaskin wao hautishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwanga na same sio umaskini Kama wa kagera ndio maana hazijatuathiri mkoa Kilimanjaro bado Ni mkoa wa 2 kuwa na kiwango Cha chini kbs cha umaskini
Pia makaz bora Kilimandjaro kwa mujibu wa nbs ni 90%
FB_IMG_15020060897734219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hili nlisahau kuongea wachaga ni kabila kubwa na ndio limesambaa zaidi ukiwa unalinganisha wachaga utagusa karibia kila mkoa tz ila kama unailinganisha kilmanjaro hulinganishi wachaga wote coz more tha half ya wachaga wako mikoani hata hapo bukoba ngoja ntafute list ya ma mangi waliopo hapo tujue kama uchumi wa bukoba n wahaya au wa wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bk uchumi wameshika wachaga mfano kwenye usafiri mabasi kampuni 3 za wachaga tumeleta bk Prince muro,Osaka Arusha exp
Pia biashara pâle nyingi ni wanyarwanda,na wachaga mhaya yy yupo busy kubishana kijiweni
Akiwa na ki Corolla Cha milion 2.5 anajiita tajiri wakati kigari hicho uchagani Ni Cha hoisegirl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 old Moshi sec imejengwa 1890's
2_hoja ya kagera kuwa maskini sii tu biharamulo inawaharibia Bali hata wilaya zenu
Mbna Sisi Kilimandjaro hatuibagui same na mwanga na bado tumeendelea kupeta? Je tungeondoa same na mwanga ingekuwaje? Kilimanjaro tupo vizuri wilaya zote sio kama nyie mnabagua infact mhaya kwa maendeleo bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika wa old moshi wew nitakuumbua bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bk uchumi wameshika wachaga mfano kwenye usafiri mabasi kampuni 3 za wachaga tumeleta bk Prince muro,Osaka Arusha exp
Pia biashara pâle nyingi ni wanyarwanda,na wachaga mhaya yy yupo busy kubishana kijiweni
Akiwa na ki Corolla Cha milion 2.5 anajiita tajiri wakati kigari hicho uchagani Ni Cha hoisegirl

Sent using Jamii Forums mobile app
Wiz Wiz Tu juzi prince muro kaiba mafuta na Jana katokea Haya .yaani wachagaa
IMG-20190215-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna mtu anadanganya mwenzie, sii kweli Kilimanjaro imeendelea hivyo wanavyosema sii kweli hata kidogo. Na ni hatari kwao, inamaanisha Serikali haina haja tena ya kuiendeleza Kilimanjaro huu ni uongo wa juu kabisa. Kilimanjaro Wilaya zake zote hazina hata Hospitali za Wilaya za serikali kama ilivyo kwa Mikoa mingine. Vijihospitali vya methehebu ya dini ndio zimeachiwa zifanye kazi kama hospitali za Wilaya hii si sawa. Kuna km nyini sana za barabara za vijijini hazipitiki kabisa ni shida. Umaskini umetamalaki Kilimanjaro baada ya zao lao la kahawa kupoteza muelekeo. Watu wa Kilimanjaro wasipoteshe umma ukweli wanajiharibia wenyewe. Kuchangia maendeleo yao ni jambo zuri la kuungwa mkono.
Hahaha utakuwa mlevi we hebu Soma hii kwanza
1 Kilimanjaro ni mkoa wa 2 tz kwa wananchi wake kuwa na kiwango kidogo cha umaskini yaan 14% tu ya Wana Kilimanjaro ndio maskini
Sasa uoni ulivyo mpuuzi kupotosha?
Eti wilaya hazina hospital ? Hahaha
1 moshi mjini
a)kcmc
b) mawenzi
2 Moshi vijijin
a) kibosho hospital
b)kilema hospital
c)marangu hospital
d)minja hospitali
e)uuwo hospital
3Rombo
a) huruma hospital
b) karume hospital
c)ngoyoni hospital
4 hai
Machame hospital
5 Siha
a kibongoto hospital
b siha hospital
6mwanga hospital
7same hospital
Haya tuambie ni wilaya Gan haina hospital hapo Kilimandjaro ?
Sijawahi ona zwazwa kama hili
Kilimanjaro ndio miongon mwa mikoa ya kwanza kupata elimu na maendeleo hadi vichochoroni kuna lami
Usirudie hata cku moja kupotoshaView attachment 1023980
tapatalk_1549822577375.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nawashangaa kabisa. Bora ukaonekana maskini ili uzidi kupendelewa zaidi na kufanyiwa makubwa zaidi kuliko kuonekana umeendelea na kuachwa hivyohivyo.wanajiaribia wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ripoti ya nbs inasema Kilimanjaro kiwango Cha umaskini Ni 14% tu sasa Kuna umaskini gan hapo? Hahaha tupo vizur na maendeleo tunayacnangia wenyewe ndio maana Kilimandjaro umeme upo vijiji vyote Hakuna kijiji hata kimoja kisicho na umeme
Mm kijiji changu umeme upo tangu 1980 Mambo ya Rea Kilimanjaro hatumo
Lami hadi vichochoroni zipo makaz ya kisasa kwa mujibu wa nbs ni 90% utaachaje kuringa?
Hata marekan wapo maskini wakubwa lkn sio wengi kama wenye uchumi mzuri
tapatalk_1549822577375.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahawa ziling'olewa kabisa, watu wako flexible kuna vitu vingine vyenye faida wanafanya,umaskini ulioko KLM ni tofaut na umaskin ulioko kagera.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini wa Kilimandjaro ni 14% kiwango kidgo kbs kagera umaskini ni 43% si ni hatari?
Nbs wanatuambia Kilimandjaro makaz bora ni 90% kagera 56% sasa wana la kusema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka Great Jay umenena vyema hata bukoba mjini uchumi unaendeshwa na wachaga ,bandari mizigo nusu yao ,kariakoo ni moshi nyingine ,tunduma kidogo wakinga wanaleta upinzani ,lakini wahaya wao watu wa madegree tuu ambayo nako wachaga ndo wamedominate
Haswaaa mchaga yy ni elimu na maendeleo mhaya yy anakazania elimu huku hawaz kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ripoti ya nbs inasema Kilimanjaro kiwango Cha umaskini Ni 14% tu sasa Kuna umaskini gan hapo? Hahaha tupo vizur na maendeleo tunayacnangia wenyewe ndio maana Kilimandjaro umeme upo vijiji vyote Hakuna kijiji hata kimoja kisicho na umeme
Mm kijiji changu umeme upo tangu 1980 Mambo ya Rea Kilimanjaro hatumo
Lami hadi vichochoroni zipo makaz ya kisasa kwa mujibu wa nbs ni 90% utaachaje kuringa?
Hata marekan wapo maskini wakubwa lkn sio wengi kama wenye uchumi mzuriView attachment 1023984

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa
images%20(82).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba mjini kuna ghorofa,jengo,shule, supermarket,nk vinavyomilikiwa na mchaga? Nitajie walau kimoja Tu? Acheni sifa za uongo nyie tutawaumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamiliki biashara
Vile vigorofa uchwara pale bk mjin vingi ni Mali za nhc na ushirika
Gorofa binafsi pale Ni chache mno
Bk hunidanganyi kitu
Ukija Arusha mahotel ya kifahari 90% ya wachaga pale mwanza magorofa 30% ya wachaga Beira Boy Ni shahid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu leta maprofesa wachaga Nami nilete wahaya[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Allen Mushi udsm mkurugenzi undergraduate
Prof Philemon Mushi muce
Prof godliving Mtui mkuu duce
Prof estomih Mtui Weil Cornel USA
Prof honest ngowi principal mzumbe dar campus
Prof Andrew swai rais chama chá madaktari wa kisukari tz
Prof ninatubu lema rais chama chá ma engineer tz
Prof Ludovic kinabo retired vice principal udom
Prof Adolph mkenda katibu mkuu maliasili
Prof dos santos silayo mkurugenzi mkuu tfs
Prof Humphrey moshi udsm
Hao ni baadhi tu orodha ni ndefu mno


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani kuwa na maprofesa wengi ndo kabila kuwa na wasomi wengi ,ok hata iq zenu huwa ndogo kwa ukanda wenu wenye akili huwa waha na wakerewe tu,wachaga waliwahi mambo ya elimu kaka wahaya ni kabila dogo ukienda mtwara wachache sana na ni walimu shule za msingi ,ila wachaga ndo wanaendesha uchumi ,nilishangaa eti hata kigoma matajiri wakubwa ni wachaga na watusi wanaojifanya waha
Mkuu wachaga ni wahindi wa tz wameshika uchumi wa tz
Mfano shirima anamiliki précision air kuna mhaya mwenye uwezo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom