Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Unaifaham barabara ya kilema?, sembeti road? Mimi nasema ukweli maana nipo huku for some years sio vinginevyo mkuu.
miongoni mwa barabar itayokArabatiwa ni hiyo
semA lingine
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Ningekua ni mimi sichangii kitu nataka serikali ikajenge, pesa si ipo
 
Hongera kwao, wilaya zote nchini zikiiga mfano huu tutakuwa mbali sana, nashauri serikali iunge mkono jitihada za wananchi katika kujiletea maeneeleo.
 
Unasemea Kirua ipi hiyo mkuu, inawezekana mara ya mwisho ulienda kirua miaka ya sitini. Hizo nyumba watu wameshazisahau mbona, na barabara mbona ni lami tokea siku nyingi tu. Acha wivu.
hahHaha hAwa washamba hAwaijui Kilimanjaro
 
Sawa hata london kuna ombaomba na vijana wazururaji ila ni sawa na dar?au hata wazungu kuna maskini ambao hawapati mahitaji muhimu je ni sawa na waafrika? Unadhani Marangu ni sawa na huko vijiji vya usukumani kwenu
Asante sana meku,hebu kunywa balimi mbili ntalipa
 
Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa mAkaz bora na maish borA,geita ni ya pili kwa umaskin,
ulitaka hiyo mizigo ya watalii abebe nani? sisi sio wavivu ka nyie
 
Back
Top Bottom