Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mimi ni msukuma halisi kabisa. Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Jomba huku hakuna kuua wazee wenye macho mekundu,hakuna mafisi yenu ya kichawi,huku huduma zote zipo.barabara kuharibika ni kawaida ila zinapitika mwaka mzima sio kma usukumani
 
Hahahah daaah, unakufaham Kirua Vunjo? Hali ni mbaya sana mkuu acha kupotosha kabisa. Watu mpaka leo hii wanaishi kwenye nyumba za mabanzi na mvua zikinyesha barabara hazipitiki kwa gari be real man.

Unasemea Kirua ipi hiyo mkuu, inawezekana mara ya mwisho ulienda kirua miaka ya sitini. Hizo nyumba watu wameshazisahau mbona, na barabara mbona ni lami tokea siku nyingi tu. Acha wivu.
 
Write your reply...KUNA KITU APO KWANZA KIASI KILICHOCHANGWA NI KUBWA MNO SIJUI WALIMUDU VP KUCHANGA AU KUNA MTU ANATAKASA FEDHA HAPO.PILI B7 HAINA UWEZO KUWEKA LAMI KWA KM IZO TAJWA HAPO.
 
Jiwe alisema tusubiri yaani kwa sasa haleti maendeleo kwetu!!

Na hii ni kumuonyesha kwamba hata akitutenga tunaweza jitegemea wenyewe!!

Sijawahi kujuta kuwa mkazi wa kaskazini mwa tanzania!!

(Najua jiwe baada kusikia hii AMENUNA SANA)...

Kaskazini woyeeeee[emoji23]
hAhaha
 
Back
Top Bottom