Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Picha zote za Machame na Marangu mazingira yanajionyesha..

Sasa hapo mazingira yanasupport kuwa ni Kagera?

Niletee picha moja tu niliyoleta ambayo haijionyeshi ni mgombani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo Hana hoja mtu anaona kbs mlima Kilimandjaro alafu anasema hii picha sio ya marangu/machame hivi atakuwa Ana akili timamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo picha mbili ndio zinasupport argument yenu?

Nyie ni wajinga kweli... Tena picha mbili za mtu mmoja hahahaha, mnajua maana ya sampling??

Wajinga wa mwisho, sasa niletee picha tano tu za watu tofauti tofauti zenye location ya uongo..

In fact ndo mjue wahaya watu wa fix.. picha anapiga Uganda anasingizia ni Kamuchumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui maana ya sumpling si walikimbia shule hawa? Hususan géograph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hapa ni nshamba? Muleba? Eti eh pole Sana fisadi mkuu.na wenzako mkiendelea kutumia fact hiyo mnajidharirishaView attachment 1018375

Sent using Jamii Forums mobile app
VP hapa sio marangu?
tapatalk_1549737052988.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upunguani dogo... Picha moja haiondoi fact.. Yaani picha ya mpuuzi mmoja wa kihaya ya uongo uongo ndio ituondolee uhalisia?

Sasa ebu jaribu kukataa zile picha sio za Muleba au Kamachumu.. au zile picha sio za Marangu au Machame..

Tuliwaambia hapa tukiweka picha za kwetu mtaanza kubisha, tumeweka picha mnasingizia Hotel sasahivi tumeweka zenye tag ya location mnakuja na blah blah nyingine. Wahaya mmerogwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekomalia hiyo tu hizo nyingine hawaziongelei hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakataaa tena Sana maana kamachumu niijuayo ina lami yote .na hakuna sehemu za hivyo.kamachumu kuna mpaka magorofa huko vijijini .pia hakuna ufugaji wa ngombe WA kihivyo WA kupeleka malishoni.ngombe wanafugia nyumbani sedentary farming.na pia udongo wa bukoba Una rangi flani sio nyekundu wala nyeusi wekundu wake haufiki wa kigomaView attachment 1018384

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwamba hapa sio kamachumu? Eti kamachumu nzima Ina lami hahaha kadanganye wasioijua mm naifaham fika
Lami ipo kutoka pale muhutwe Hadi kamachumu tu kwingine huko ni machaka
kwanzia nshamba kwenda kamachumu huniambii kitu na hadi kule nyamilanda sasa unabisha nn
Hadi kishanda kule usidhan hatuijui
Unakataa kwenu? Hahaha FisadiKuu mm naijua muleba na niliitembelea hadi visiwan kule bumbile ikuza na rwazi hovyo kbs hawa watu
tapatalk_1549763862800.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaamini hapa ni Kilimanjaro vimaskini vya kihaya..

Picha zina mpaka Mlima na Migomba bado maskini wa kihaya wanabisha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1018387View attachment 1018388View attachment 1018389View attachment 1018390View attachment 1018391

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewweseka hawaaa hahaha hata kichaa anaweza kuwashangaa tulipoweka mahekalu wakaanza kusema ni hôtel tukaja kwenye za wananchi wa kawaida wanasema sio uchagani wakati wanaouona mlima Kilimandjaro kbs sasa watu kama hawa ukiwaita wajinga utakuwa na kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom