Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Ndo unamuagiza mwenzio instagram ivo!! Dah wachaga bwana sijui insta ndo mmeijua jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Insta imewaumbua vibaya
Check mzee wa kichaga akijiliwaza nyumban kwake machame nkwarungo unaona uchagani ilivyo safi?
tapatalk_1549736941247.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa. Kujitambua tu tunajitambua tangu Zama maendeleo %70 huletwa na wananchi. Halafu serikali inaunga mkono. Mimi mwenyewe. Nilishajitolea kujenga zahanati. Madarasa na upanuzi wa barabara za mitaa hufanya hizo kazi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushuhuda mkuu
Hawa wahaya tukiwaambia Kilimanjaro tunaiendeleza wenyewe hawaamin
Hata operation ya kujenga shule za kata mkapa aliiga kwetu
Kule Kilimanjaro tangu 1990's wananchi walikuwa wakijenga madarasa kwa hiari yao kiasi kwamba hadi Leo Kilimandjaro haijawahi kuwa n'a uhaba wowote wa madarasa
Ndio maana ni mkoa wa kwanza tz kuwa na secondary nyingi
Wenzetu kagera wao Ni kuzaliana hovyo tu hawajengi madarasa ndio maana mwaka huu watoto 15 elfu kagera wameshindwa kwenda secondary kwasababu ya madarasa alafu ndio wanajiita intelligents hahaha huwa nachekaga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni washamba Sana eti mtu anasema English medium ya ghorofa vijijini no kitu cha ajabu .wakati bukoba zimefurika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna ulishindwa kuweka English mediam ya Kijijn? Umekalia maneno tu check hapo machame ndan ndan English medium ya gorofa nyie mna ubavu huo?
Muleba nzima Hakuna shule ya namna hii hapa Ni kijijin ndan kbs
tapatalk_1549716215224.jpeg
tapatalk_1549711375615.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewadharau Sana wachaga tangu leo.ni washamba Sana hawajui kutumia hata Instagram.na eti shule ya ghorofa vijijini ni kitu cha kujisifia wakati bukoba zipo mpaka ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Povu loote ni baada ya kuwaumbua si mnajiita wajanja? Yan ubishe kuwa hapa sio muleba? Chezea vitu vyote sio teknolojia
tapatalk_1549736433274.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nitaenda misenyi huko ndani nikija kuhiji nyakijooga lazima niletee picha za kutosha .vip mkuu upo bk.kama upo bk ujenzi wa shopping mall pale mbele ya Victoria hotel umefikia wap? Maana sio Kwa mghorofa ule

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha weka picha,maneno peleka pwan hahaha picha za mahekalu ya wachaga zimewachanganya Hadi mkaanza kusema Ni lodge hahahags

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba hujui wakitoka wasukuma kabila linafoata kwa ushamba ni hawa wenzetu!?? Na wakija mjini ulimbukeni sasa na kile kiswahili chao chenye mawimbi ya kushuka na kupanda utafikiri wanaimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli ndio mjinga wa mwisho washamba nambari one ni nyie mjini Kati ya mchaga na mhaya Nan alitangulia? Hujui kuwa ma bilionea wa kibongo ukitoa wahindi Ni wachaga?
Washamba Ni nyie mnapaki mibauskeli ya fonex stand mjin yaan Hadi karne hii mnatumia fonex? Ushamba Ni mzgo
tapatalk_1548942261396.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaahhh!! Kumbe ile ni shopping mall!?!?? Sijuagi aisee. Naona jamaa wamefika mbali aisee. Nitafika Juma3 maana nina shida mkoani pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Washamba bhana kwahiyo ki shopping mall kinachojengwa hap bk kwenu ndio ufahari mbna Moshi zipo karibu 10?
Check hiyo ya moshi kwa ndan
Ila wahaya ni washamba hatr
tapatalk_1549287767167.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tazama Haya mabasi ya Mzee kareju mmiliki wa kemebos ni kufuru tupu.View attachment 1018322

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duh ushamba Ni hatar,mabasi 6 ndio kufuru?
Hapo nakupatia mchaga mmoja tu princes muro Ana mabasi 18 tena yutong
Na kampuni za mabasi tz 55% zinamilikiwa na watu wa Kilimanjaro
Mfano
Muro
Osaka
Arusha exp
Mtei exp
Kidia one
Dar exp
Ibra Line
BM coach
Machame safari
Lim safari
Tilisho exp
Mghamba exp
Hai exp
Happy national
Niendelee? Ndio ujue ulivyo mshamba Yan mtu kumiliki Marcopolo 6 uhayan ni kitu Cha ajabu wakati uchagani mtu anamiliki yutong 30 duh ama kweli mhaya Ni mshamba check hiyo yutong inapiga rombo to Arusha Hakuna mabasi chakavu kaskzn
FB_IMG_15411699489477682.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom