Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Ni kweli siri ya maendeleo ni wivu,Kuchuana kihoja mwisho wa siku tunafika pazuri
Kwa hyo hata mimi naamini mvutano huu ni wa nia njema ili tuwe na wivu wa kimaendeleo.ndo maana huko uchaggan kuuana nasikia kuna kaeneo ndo huwa kanaleta picha mbaya maeneo ya huko

Watu wana wivu wa maendeleo sana,ukifika vijijini huko Robo ya Ulaya[emoji4]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu Sisi wachaga hatuna wivu wa kulogana kama wa kagera
Mchaga akijenga nyumba ya vyumba 5 mwingine atajenga ya 10
Akinunua Rav 4 mwingine natanunua klugger
Ndio maana hadi kiama, uchagani haitakaa irudi nyuma
Uhayan huwa wanaoneana wivu wa kuuana mfano kule muleba ndio balaa Kuna kata inaitwa kimwani kule ndio hatari muleba nimeizunguka Sana kwanzia nchi kavu Hadi kule vusiwan rwazi,bumbile,ikuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu mkuu usiseme ulutheri Marangu ni asilimia 5 UNAKOSEA.

Kwa nilivyofuatilia historia na pia kukaa huko najua kwamba Sehemu zenye waLutheri wengi ni Marangu na Old Moshi
Ila ukienda maeneo kama Kilema waluther ndo asilimia 5 kwa sababu kule ndo kumejaa wakatoliki,Rombo nayo ni ya wakatoliki Waluther asilimia 3,Marangu ni zaidi ya asilimia 89 ukitoa hao walokole wengine na wapagani[emoji2]
Japo udhibitisho sina.

Alafu kilema ndo wakatoliki ndo maana wana Hospitali yao ya Kilema
Marangu nao wana yao

Na Machame pia kumelala Walutheri.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Pia rombo katoliki inamiliki hospital mbili huruma hospital,ngoyoni hospital aisée kumbe ndio maana takwimu zikasema kililmanjaro kimiundombnu imekamilika kwa 95%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa kwa harakahara umesema kuwa dayosisi ya Kaskazini ndio iliyoanza hyo hospitali,Sasa hapa kwa haraka haraka tusiseme dayosisi

Kuna Askofu mmoja wa huko Kaskazini aliyekuwa anaitwa Dkt Stefano Moshi huyu askofu nilivyomfuatilia historia yake aliweza kuunganisha dioceses saba za Lutheran za Tanganyika kipindi hicho,na pia alileta wazo la kuanzishwa hospitali ya KCMC Ili iwe ni owner(miliki)ya wana KKKT kwa Tanzania nzima kama ulivyosema mwanzo kwenye issue ya RADIO.

Kwa hyo sasa michango iliyokuwa ikitolewa na hao wazee uliosema awali pamoja na donors countries(misaada kutoka nje) means makanisa ya nje kama Bavaria etc wakati huo nayo pia ilikuwa ni asali tosha na alama ya kuendelea kwa Hospitali ya KCMC.

Kwa hyo kwa muktadha huu Dkt Moshi ndie aliyekuwa Mwanzilishi wa Hospitali hiyo na pia kwa kiasi flan kuna asilimia kadhaa za wanakaskazini wametoa michango yao kadha wa kadha Na Baadae sasa ikawa miliki(owner) ya wana KKKT Tz nzima

Nawasilisha.Alasiri njema

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu umemaliza kila kitu.. Bila juhudi za waKaskazini hiyo hospital isingekuwepo..

Muhaya atoe pesa akujengee hospital Moshi, thubutuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka leo huu mjadala tuufunge rasmi.. Wajifananishe na wasukuma sio wachaga..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Lao Ni wabishi dawa nikuwPa za uso kipindi kile eti walikuwa wakilinganisha ki bukoba na Moshi wakawa Wana post vigofu vyao weee hatukuwajibu wakaendelea weeeee
Sasa tukaamua kuwaumbua si unaona akina sundoka,kaina,great haya wamekimbia wote ?
Amebaki huyu instanbul nae naona jahaz linamzamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hotel gani ya kishamba nje imepaki haice ya kamuchumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hawa hawajui maana ya hotel ngoja niwawekee lodge moja iliyopo sanya juu siha
tapatalk_1548810821696.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Lao Ni wabishi dawa nikuwPa za uso kipindi kile eti walikuwa wakilinganisha ki bukoba na Moshi wakawa Wana post vigofu vyao weee hatukuwajibu wakaendelea weeeee
Sasa tukaamua kuwaumbua si unaona akina sundoka,kaina,great haya wamekimbia wote ?
Amebaki huyu instanbul nae naona jahaz linamzamia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu utakuwa umelewa joto la Moshi. Moshi kuna nini cha maana hapo??
 
Lete picha ya shule bwana... Unatuletea maneno.

Alafu kumbe huko Kamachumu ni mji bwana. Yaani labda tuseme kama ilivyo Bomang'ombe hivi ndio Kamachumu.

Kamachumu sio kijiji ni kata ya Wilaya ya Muleba. Nilitee shule iliyoko kijijini bwana.. Huko Muleba vijijini.. alafu pia hiyo shule tuma picha zake tuione..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamachumu ni tarafa .bado nazidi kukusoma tabia unaongea vitu Kwa hisia sio uhalisia . st Joseph rutabo ipo rutabo sio kamachumu mjini lakini tarafa ya kamachumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Lao Ni wabishi dawa nikuwPa za uso kipindi kile eti walikuwa wakilinganisha ki bukoba na Moshi wakawa Wana post vigofu vyao weee hatukuwajibu wakaendelea weeeee
Sasa tukaamua kuwaumbua si unaona akina sundoka,kaina,great haya wamekimbia wote ?
Amebaki huyu instanbul nae naona jahaz linamzamia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huko Kamuchumu ni kijiji au kata iliyopo around Muleba District?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kamachumu ipo wilaya gani? Kumbe hata hupafahamu kagera.kamachumu ni tarafa mojawapo katika wilaya ya muleba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamachumu ni tarafa .bado nazidi kukusoma tabia unaongea vitu Kwa hisia sio uhalisia . st Joseph rutabo ipo rutabo sio kamachumu mjini lakini tarafa ya kamachumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kumbe ni tarafa.. Yaani Kamachumu kwenyewe kuna mpaka Kamachumu mjini teh teh teh..

Aya lete picha sasa sio maneno.. Uliniomba nikuletee picha nikaleta. Na wewe tuletee picha za hiyo shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom