Sasa hapa kwa harakahara umesema kuwa dayosisi ya Kaskazini ndio iliyoanza hyo hospitali,Sasa hapa kwa haraka haraka tusiseme dayosisi
Kuna Askofu mmoja wa huko Kaskazini aliyekuwa anaitwa Dkt Stefano Moshi huyu askofu nilivyomfuatilia historia yake aliweza kuunganisha dioceses saba za Lutheran za Tanganyika kipindi hicho,na pia alileta wazo la kuanzishwa hospitali ya KCMC Ili iwe ni owner(miliki)ya wana KKKT kwa Tanzania nzima kama ulivyosema mwanzo kwenye issue ya RADIO.
Kwa hyo sasa michango iliyokuwa ikitolewa na hao wazee uliosema awali pamoja na donors countries(misaada kutoka nje) means makanisa ya nje kama Bavaria etc wakati huo nayo pia ilikuwa ni asali tosha na alama ya kuendelea kwa Hospitali ya KCMC.
Kwa hyo kwa muktadha huu Dkt Moshi ndie aliyekuwa Mwanzilishi wa Hospitali hiyo na pia kwa kiasi flan kuna asilimia kadhaa za wanakaskazini wametoa michango yao kadha wa kadha Na Baadae sasa ikawa miliki(owner) ya wana KKKT Tz nzima
Nawasilisha.Alasiri njema
Sent from my SM-J500H using
JamiiForums mobile app