Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Tuonyeshe moja tu kama hii..

Plz msiniletee za Muleba mjini, nataka za Bukoba vijijini. Maana mkileta za Mjini na mimi nikileta za Hai mjini hapatatosha..
View attachment 1017816View attachment 1017817

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umewamaliza nguvu
Muleba mjini tu hawana shule yenye hadhi hii sembuse vijijin
Hii ni machame ndan ndan huko duh kwakweli tupo juu Kilimanjaro Ni halali takwimu hizi
FB_IMG_15484331604392327.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nyumba zimebanana kama za uswahilini ndio mnasema ni kijijini hapo?

Hahahahaha sasa Kamuchumu si ni pa kulinganisha na Bomang'ombe hapo..

Tumemwambia alete picha za English Medium ya kijijini yeye anatuletea Muleba mjini [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunabishana na kashule kamoja hako Ka huko rutabo kamachumu.wakati wilaya ya muleba inashule kibao za English medium?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaniambia mimi nitembee upareni?? Kwamba sipajui ama? Na mwezi ujao nakuja huko nitapiga picha huko huko ndo mlie vizuri sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro is next level
Utupigie picha lami safi kutoka same gonja
Mwanga Lomwe,usangi
Kule usangi ndan ndan Kuna Hadi crdb bank
Yaan upareni kupo shwari sio Kama kule karagwe,ngara,bmulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom