Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Njoo wilayani Same, angalia stand yetu, nenda milimani ukaone barabara zetu huko juu kabisa, rudi Bukoba ukajenge stand ya standard ile tu then uje tulumbane.
Wapi huko unapopasema? Gonja ama?? Yaani we jamaa unachekesha balaa. Yale maisha ya upareni ndo unataka kuyalibganisha na ya Bukoba?? Kama hayo ya uchagani yenyewe hayaoni ndani yatakuwa hayo ya wapare! Mjilinganishe nao hao ndugu zenu[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli we nshomile una matatizo, vitu gani vinachagiza maendeleo kwenye manispaa na halmashauri za miji?

Upareni hakuna nyumba za tende wala nyasi, hayo niliyaona huko Kyaka na Kyerwa.

BTW, acheni kuweka nylon kwenye vitanda vyenu, wageni tunapata shida sana kulala kwenye kitanda kinachopiga kelele.
Blaza upareni napajua vizuri mno ni aibu. Huko panafaa kulinganishwa na uchagani. Hao ndugu zenu mmeendana hata maendeleo yenu sawa tu. Kazi kula makande tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi walisimamisha ujenzi wa barabara kutokana na figisufigisu za jamaaa flani... je wamesharejea ktk ujenzi wapendwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisharejesha ujenzi Kama kawaida mkuu picha hizi
tapatalk_1548780474311.jpeg
tapatalk_1548780469428.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni hotel sio majumba ya watu nikipost hotel utaumbuka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ikiwa vijijin kuna hotel zenye hadhi hii makaz si ndio yatakuwa ulaya?
Manake watu wana pesa ndio maana kuna hotel Nan atajenga hotel kusiko na pesa?
Alafu itakuwa kichekesho mhaya amzid mchaga kwa hôtel mhaya na biashara wapi na wapi
Vigest vyenu bukoba vina makaratasi ya nailoni hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wilaya ya kyerwa imeanzishwa lini.ukienda sehemu na negative mind kichwani utaona negativity Tu Kwa hiyo sikushangai.halafu upareni ndo kabisa huwezi walinganisha na wahaya Kwa lolote lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wapare siku hizi washakuwa juu ndio nawaachia ligi mshindane não
Mchaga sasa hivi lèvel yangu ni London kaz kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nyie mnaishi stendi na barabarani. Hiyo ni kazi ya serikali.

mi na familia yangu tunajenga mgetho wetu huku migombani na kuhakikisha tuna maisha bora.

Au akili yako unafikiri stendi itakusaidia lolote wakati unaishi kwenye nyumba za nyasi na unalala kwenye mazizi?stendi ni kazi ya serikali wala sio watu binafsi.kwanxa inajengwa huko kyakarabwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro hatuna nyumba za nyasi tangu 1980's usidhan kwenu muleba kulivyo na nyumba za nyasi ukafkir kote kupo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli we nshomile una matatizo, vitu gani vinachagiza maendeleo kwenye manispaa na halmashauri za miji?

Upareni hakuna nyumba za tende wala nyasi, hayo niliyaona huko Kyaka na Kyerwa.

BTW, acheni kuweka nylon kwenye vitanda vyenu, wageni tunapata shida sana kulala kwenye kitanda kinachopiga kelele.
Hahaha Ni washamba mno wanatandka nailoni kitandan
Nilishamwambia Kilimanjaro mkoa mzm tangu 1980 Hakuna tembe sijui haamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo stendi inajengwa na watu binafsi au serikali na watu wake? Tukiongelea kama wahaya wameendelea tunaangalia chimbuko na vijiji vyao Kwanza .mi nitaongelea wapare kama wameendelea Kwa kuangalia jinsi wanavyoendeleza vijiji vyao sio eti Kwa kuwa wanastendi nzr na mji mkubwa eti.eti unaangalia dar unasema wazaramo wameendelea.halafu kyerwa ni wilaya mpya wala sio uhayan kabisa kule kuna wanyambo,wahima na wanyankole huko.tazama uhayani bukoba vijijini, misenyi na muleba .ingawa kyerwa inazizidi mwanga na same mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea upareni uone kulivyo safi vijiji na wilaya vimeungnishwa l'ami mfano mwanga usangi ugweno,Lomwe ni lami,same hadi kule juu gonja ni lami
Kilimandjaro ni ulaya ya tz hongereni watan zangu wapare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pyuuuu!! Pesa ya barabara km 5 ndo mnasema eti ya kujenga barabara km 232? Mmepigwa mchana kweupe nyie. Ila mna moyo ningekuwa mimi ningeshakimbia kama wenzenu mlioanza nao wamekula mita baada ya kuona ni ngumu kutetea uongo mlioutunga nyie bila kuwashirikisha[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mna ubavu wa kuchanga hata milion 5?
Vunjo pekee bilion 7 kukarabati barabara zote za Jimbo vijijin
Mkoa mzma wa kagera mkichanga hamfikishi hata milion 10 nyie Ni maskini wakubwa ujenzi unaendelea
tapatalk_1548780474311.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko unapopasema? Gonja ama?? Yaani we jamaa unachekesha balaa. Yale maisha ya upareni ndo unataka kuyalibganisha na ya Bukoba?? Kama hayo ya uchagani yenyewe hayaoni ndani yatakuwa hayo ya wapare! Mjilinganishe nao hao ndugu zenu[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Upareni ndio level ya bk
Uchagani Ni London
Ila upare imeshipiga bk mweleka mkubwa Sana nilikuwa nataka kushangaa maskin wa bk wajikinganishe na matajir moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ikiwa vijijin kuna hotel zenye hadhi hii makaz si ndio yatakuwa ulaya?
Manake watu wana pesa ndio maana kuna hotel Nan atajenga hotel kusiko na pesa?
Alafu itakuwa kichekesho mhaya amzid mchaga kwa hôtel mhaya na biashara wapi na wapi
Vigest vyenu bukoba vina makaratasi ya nailoni hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mlima Kilimanjaro uko wap .si wakitaka kupanda upitia vijijini.ndo maana kunajengwa resort huko vijijini.bukoba hata hakuna watalii WA kupanda milima lakini kuna hotel huko vijijini subiri nikuletee tulia bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kudhibitisha wingi WA mapadre parokia za Jimbo la bukoba hakuna yenye chini ya mapadre watatu na nyingine wanne.jimbo Hilo kongwe Lina mpaka mtakatifu yohane Maria mzei mzaliwa wa parokia ya minziro Jimbo katoliki la bukoba, jimbo la bukoba Lina kituo cha hija cha kipekee barani Africa maarufu kama nyakijooga.ili kuamini Una mapadre wengi seminary ya rubya Una zaidi ya mapadre 17 wote wakiwa walimu Tu na walezi.mpaka majimbo mengine kama kahama,ngara,kigoma na kayanga uhudumiwa na mapadre wa Jimbo hili.ulutheri ndo hatari sasa bukoba ndo askofu wa kwanza mweusi wa kirutheri alitoka askofu kibira.na watu wengi mashuhuri kimsingi bukoba na kabila la wahaya ndilo lenye maintellectuals wengi zaidi Africa mashariki .na inasemekana wahaya walitokaga misri wakifuata MTO Nile na hatimaye kuseto kagera baada ya Hali ya hewa nzr kuikuta hapo.wengi husema labda waliodorminate misri kipindi weusi hao ni wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unapenda blah blah sana..

Tafuta kile kitabu cha kalenda cha KKKT alafu fananisha vitu vinavyomilikiwa na Dayosisi ya Kaskazini na ufananishe na Dayosisi ya huko uhayani.

Hapo ndo utajua unapiga blah blah tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom