Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Hapa ni Machame Hospital.. Hospital teule ya wilaya. Hapa kuna mpaka chuo kinatoa clinical officers ambao wakitoa ni direct kuchukua Degree..
View attachment 1017649View attachment 1017650View attachment 1017651View attachment 1017652View attachment 1017653View attachment 1017654View attachment 1017655

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza na Marangu Hospital.. Ingawa ulutheri Marangu ni kama 5% tu lakini hao hao wachache wamejenga hiyo hospital kwa pesa zao wenyewe...View attachment 1017645View attachment 1017646View attachment 1017647

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital Tu subiri nizilete hapa uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sauti ya mama maria huwa tunasikia wanachangiwa Tanzania nzima na waroma wa parokia mbalimbali..

Ulishasikia Sauti ya Injili ikichangiwa sehemu nyingine ukitoa Moshi? Ndio ilivyo hata kwa KCMC.. Vitu hivyo vinafanywa tu vionekane ni vya Lutheran Tanzania lakini kiuhalisia vimejengwa na kuendelezwa na Lutheran Kaskazini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ndo maana huwa naamini chimbuko la Walutheri limeanzia Kaskazini.Hapo kwenye Radio nakuunga mkono kwa asilimia zote kwa sababu huwa nasikia michango yote inatokea humo humo Kaskazini.Lakn mwisho wa siku inaitwa ni ya WAMILIKI.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Naanza na Marangu Hospital.. Ingawa ulutheri Marangu ni kama 5% tu lakini hao hao wachache wamejenga hiyo hospital kwa pesa zao wenyewe...View attachment 1017645View attachment 1017646View attachment 1017647

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni Machame Hospital.. Hospital teule ya wilaya. Hapa kuna mpaka chuo kinatoa clinical officers ambao wakitoa ni direct kuchukua Degree..
View attachment 1017649View attachment 1017650View attachment 1017651View attachment 1017652View attachment 1017653View attachment 1017654View attachment 1017655

Sent using Jamii Forums mobile app
@Instanbul una kingine Cha kuuliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba kuna vijihotel sio hotel
Unajua maana ya hotel,hotel gan vitanda vina ma nailoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama hii hotel
2018-08-25.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dayosisi ya Bukoba mna vyuo vikuu vingapi? Mna bank?

Dayosisi ya Kaskazini (naposema Kaskazini hii Dayosisi toa Upareni na Arusha) tuna Chuo Kikuu cha KCMC, Stefano Moshi Memorial.. Na vyuo vishiriki vya Machame na Mwika chuo cha theolojia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuonea bure mkuu hatakuwa na majibu
Msamehe please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo ndo maana huwa naamini chimbuko la Walutheri limeanzia Kaskazini.Hapo kwenye Radio nakuunga mkono kwa asilimia zote kwa sababu huwa nasikia michango yote inatokea humo humo Kaskazini.Lakn mwisho wa siku inaitwa ni ya WAMILIKI.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sasa hapo naona tunaenda sawa. Ndivyo ilivyo, tungeamua kuwa wabinafsi hata KCMC tungeiteka wenyewe..

Dayosisi ya Kaskazini ina nguvu sana na maono.. yaani kwamfano Bank wao ndio walianza na wakaweza. Ndio sasa huku Dar tunaamka kufungua yetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kama KCMC ni hospital ya KKKT na ni serikali imejiingiza hapo kwa kuomba? Mpaka kesho Askofu wa Kaskazini ana sauti hapo KCMC na hata kuendelezwa ni kanisa linasimamia..

Ni majuzi tu hapa Mzee Mengi na Askofu Shoo walikutana Mzee Mengi anataka kutia hela kuboresha huduma pale..

BTW, Machame kijijini kabisa kuna mpaka English Medium Schools zinajengwa na shirika za walutheri. Hivi ushawahi kufikiria vijiji vya wahaya viwe na English Medium Schools.

Hii shule ya mitaala ya kingereza iko kijijini ndani kabisa.. Niletee shule ya hivi huko Muleba, wahaya si mnapenda elimu bana..

View attachment 1017681View attachment 1017682

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umemmaliza kabisa hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete shule ya English medium iliyopo vijiji vya wahaya.. teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mkuu usiseme ulutheri Marangu ni asilimia 5 UNAKOSEA.

Kwa nilivyofuatilia historia na pia kukaa huko najua kwamba Sehemu zenye waLutheri wengi ni Marangu na Old Moshi
Ila ukienda maeneo kama Kilema waluther ndo asilimia 5 kwa sababu kule ndo kumejaa wakatoliki,Rombo nayo ni ya wakatoliki Waluther asilimia 3,Marangu ni zaidi ya asilimia 89 ukitoa hao walokole wengine na wapagani[emoji2]
Japo udhibitisho sina.

Alafu kilema ndo wakatoliki ndo maana wana Hospitali yao ya Kilema
Marangu nao wana yao

Na Machame pia kumelala Walutheri.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hebu tazama ndolage hospital ya huko kamachumu .napo kuna chuo pia ingawa urutheli uhayani ni 20% lakini wanajitahidi sanaView attachment 1017683View attachment 1017684View attachment 1017689View attachment 1017687View attachment 1017688

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchagani ulutheri ni 40% katoliki 60%
Na ipo géographical
Old moshi,siha,machame Ni ulutheri 99.99%
Kibosho,uru,marangu,rombo,vunjo,kilema ni ukatoliki 99% unaona jinsi tulivyo na akili
Walutheri wana miradi yao na sisi tuna yetu tunachuana kimaendeleo ndio Siri ya Kilimanjaro kuwa juu kimaendeleo

Asante kwa marekebisho mkuu.. Nilikuwa najua wengi ni Roman maana kule kwa Marealle kote imetapakaa RC..

Back
Top Bottom