moram ulisimama kwakuwa mradi huo ulizuiwa na DC
jpm kauruhusu mwez desemba
juz trh 29 tulikuwa ukumbi wa marangu ttc na mbatia pmj na kamati nzima yá maendeleo ya vunjo (vdc) chini ya askofu shoo na mchungaji Dr eliona kimaro,wakasema wiki ya 2 ya January mradi utaanza,ilikuwa ni tamasha la wana vunjo,sasa wewe unaishi kwa hisia?
nahisi utakuwa haupo vunjo,ungekuwa vunjo usingekuwa outdated namna hii,tamasha la Wana vunjo 29/12 tulikuwa nyomi ukumbi ulijaa full akina mchungaji eliona kimaro wakaeleza jinsi mradi wa vdc ulipifikia ,askofu Dr Martin shao ambaye ni Mwenyekiti wa vdc akahutubia nakueleza mradi utaanza Mara moja mitambo itaanza kazi wiki ya 2