Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mkuu taja tarehe wewe watu tuitafute taarifa ya habari. Ikiwezekana tupe na clip.

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja niku tag Sasa hivi kwenye thread ya wiki iliyopita ya mhe mbatia akitoa mrejesho wa mradi huo ktk chuo Cha ualimu marangu,ambapo ulikuwa cku ya Wana vunjo
nitakuthibitishia pasi kuacha Shaka yoyote alafu nione utasemaje Tena,mlidhani sisi ni maskini ka nyie?
 
Na huo uzi uwe umepostiwa na Mbatia mwenyewe na ID yake iwe verified! Msituletee hadithi za kuandika nyie wenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vunjo ndo hakujaendelea kabisa. Senta ya PAKULA ni ya hovyo kabisa, usafiri shida mpaka PIK UP zinabeba abiria, Stendi ikiwa jirani na geti la PAKULA SEC.
kwakweli unahitajika kufanyiwa maombi
hapo PAKULA unaposema ni % NGAPI ta vunjo?
vunjo ni kwanzia uchira,himo,kilema,marangu,mamba,mwika, vipi unaonaje kulivyo Kama ulaya?
hapo PAKULA ni uswazi wa kawaida tena huduma zote zipo,ikiwa Washington kuna uswazi,sembuse PAKULA_VUNJO?
 
Mkuu usibishe. Huenda nyie mkiangalia ndo mnapaona kama Ulaya. Huwez lazimisha watu wote wapaone pazuri. Na wenzenu wana macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka punguza maneno asilimia kubwa kilichofanyika ni kuleta karandinga na kuchonga tu barabara pasipo hata kumwaga kifusi, barabara zilizowekwa kifusi au hizo moram ni chache sana
chanzo chá habr ni itv
fuatilia taarifa ya hbr ya TAREHE niliopst hii thread
2_hizo km 232 ni barabara zote za vijijin za Jimbo Zima la vunjo zinazopitiwa na huo mradi
kwa ushahidi zaidi naomba uje vunjo ujionee
4_ usidhan kwamba mnapotoa hoja hapa tukachelewa kuzijibu kwamba tumeshundwa la hasha huwa tuna majukumu mengi nitajibu kila hoja kadri muda utavyoniruhusu
5_sisi Wana Kilimanjaro ni jadi yetu kuchangia maendeleo tangu Uhuru Wala hivyo vi bilion 7 tulivyochanga visikupe kiwewe,mkoa wetu ndio unaongoza kitaifa kuwa na secondary nyingi ,Moshi DC ndio wilaya yenye shule nyingi za misingi tz hii ilitokana na michango Kama hii kwa wananchi then serikali kupiga tafu kidgo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja jiwe asikie hizo habari cha moto mtakiona , mtakula jeuri yenu nyie wajomba zangu ,na jinsi Malaika jiwe alivyonachuki nanyi ,

Sent using Jamii Forums mobile app
sio jiwe tu,hata sundoka anaona wivu hatari anashangaa tumewezaje kuchanga bilion 7,nimemwambia Kilimanjaro kuchanga hata bilion 40 ni kawaida sana,watu tunathamini mkoa wetu hatujautelekeza kama wao walivyoutelekeza wao kagera
 
Ngoja jiwe asikie hizo habari cha moto mtakiona , mtakula jeuri yenu nyie wajomba zangu ,na jinsi Malaika jiwe alivyonachuki nanyi ,

Sent using Jamii Forums mobile app
sio jiwe tu,hata sundoka anaona wivu hatari anashangaa tumewezaje kuchanga bilion 7,nimemwambia Kilimanjaro kuchanga hata bilion 40 ni kawaida sana,watu tunathamini mkoa wetu hatujautelekeza kama wao walivyoutelekeza wao kagera
 
Na huo uzi uwe umepostiwa na Mbatia mwenyewe na ID yake iwe verified! Msituletee hadithi za kuandika nyie wenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
kula limau tu ulale,sisi tunasonga mbele
Kilimandjaro ndio mwalimu wa maendeleo tz,nimeshaku mention
source NYINGINE fwatilia itv iliripoti kwanzia walivyochanga, hizo bilion 7,hadi mradi ukasitishwa na juz trh 29 wame post mbatia akiuzungumzia
sasa usipoamin haibadilishi ukweli
najua imekuuma sana sisi tunathamini mkoa wetu hatujautelekeza Ka nyie mnavyoutelekeza kagera
 
Back
Top Bottom