Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Alafu inavyoonekana huu utamaduni wa kuchangishana kwa ajili ya maendeleo ni mpya kwa wachaga. Kwa wenzetu Kagera ni mambo ya kawaida. Sitaki kuwachafulia uzi wenu. Nikiwa na muda mzuri nitaanzisha uzi wangu wa miradi inayofanyika huko Kiziba kwa wahaya kwa kuchangishana kila mwaka na vielelezo kabisa, sio hizo porojo za "Mbatia alisema, Mbatia alisema" Haya ni mambo ya kawaida uhayani na hakuna anayehangaika kushinda hapa JF akihaha kuwaaminisha watu kuwa wahaya wanachangishana.

Hiki kitu kwenu ni kigeni maskini, ndo maana mnahaha kuhakikisha kila mtu anakiona. Na bahati mbaya sasa hata hakionekani kwa kuwa hakipo! Hapo ndo mnapoaibikia sasa.

BADO NADAI CHANZO CHA HABARI

Sent using Jamii Forums mobile app
unataka chanzo kipi wakati nimekwambia itv?
hebu fwatilia official page ya itv utaiona hbr yote Sasa chanzo kingine ni kipi?
2_eti huo utaratibu ni mpya kwetu ? naona unaota wewe,wachaga tangu enzi za mkoloni huwa Wana vikundi vya kuchangiana popote walipo,ndio maana miundombn imejaa tele hizo ni nguvu za wananchi n'a m serikali kutupiga tafu kidogo
mfano ujenzi wa shule Kilimanjaro haina uhaba wowote wa majengo kwa karibu miaka 20 sasa wakati kwenu kagera zaidi ya wanafunz 15 elfu wameshindwa kwenda sec kwasababu ya ukosefu wa madarasa
ulishakatika sikia Kilimanjaro Kuna ukosefu wa madarasa? poleni na mbwembwe zenu
 
Inaonekana maendeleo ya Vunjo yanawanyima watu usingizi.
Inaonekana hujawahi kufika kirua, barabara ya kirua ina lami mpaka pale kwa mangi mashingia imebaki km chache tu kumalizia mpaka pale Congo. Sijui wewe unasema nn?
Sana mkuu, mazwazwa yanaona wivu jinsi Kilimanjaro ilivyo Kama ulaya
 
Tena ni barabara chache tu mkuu ndo zimekarabatiwa kama barabara ya himo kwenda makuyuni,barabara ya marangu sembeti,barabara ya marangu mshiri,marangu masia na marangu uomboni na mwisho ni barabara ya mwika kuanzia mwika mahakamani mpaka kwa kilele na mpaka kkkt kiruweni ukitoa hizo aniambie kama kuna zngne..
Mbahe,kilema chini,kilema juu,mamba,kirua huko kote hakujaguswa
Kizuri dunia bwana imejaa watu wema. We danganya ukiwa sijui Dar nyuma ya keyboard yako, kumbe kuna wasamalia wema wapo Vunjo wanakuumbua kwa uongo wako.asante sana mkuu liquelme

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizuri dunia bwana imejaa watu wema. We danganya ukiwa sijui Dar nyuma ya keyboard yako, kumbe kuna wasamalia wema wapo Vunjo wanakuumbua kwa uongo wako.asante sana mkuu liquelme

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo Wala sio mwana vunjo
hiyo moramu ilisitishwa kumwagwa kwasababu mradi huo ulisitishwa na DC wa moshi
mbatia akaenda kushtaki inakuaje wananchi wachange bilion 7 kujenga barabara alafu DC azuie? ndipo mwishon mwa November jpm akaruhusu uendelee
kwahiyo huyo asidhan kwamba eti moramu hautaendelea kumwagwa trh 29 tulikuwa marangu TTC ktk siku ya Wana vunjo askafu Dr Martin shao ambae ni Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo vunjo akasoma ripoti nzima,wiki ya 2 ya January mradi utaendelea Kama kawaida poleni wenye chuki
fwatilia itv waliripoti kwa kina hiyo hbr
 
Tena ni barabara chache tu mkuu ndo zimekarabatiwa kama barabara ya himo kwenda makuyuni,barabara ya marangu sembeti,barabara ya marangu mshiri,marangu masia na marangu uomboni na mwisho ni barabara ya mwika kuanzia mwika mahakamani mpaka kwa kilele na mpaka kkkt kiruweni ukitoa hizo aniambie kama kuna zngne..
Mbahe,kilema chini,kilema juu,mamba,kirua huko kote hakujaguswa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni barabara chache tu mkuu ndo zimekarabatiwa kama barabara ya himo kwenda makuyuni,barabara ya marangu sembeti,barabara ya marangu mshiri,marangu masia na marangu uomboni na mwisho ni barabara ya mwika kuanzia mwika mahakamani mpaka kwa kilele na mpaka kkkt kiruweni ukitoa hizo aniambie kama kuna zngne..
Mbahe,kilema chini,kilema juu,mamba,kirua huko kote hakujaguswa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni barabara chache tu mkuu ndo zimekarabatiwa kama barabara ya himo kwenda makuyuni,barabara ya marangu sembeti,barabara ya marangu mshiri,marangu masia na marangu uomboni na mwisho ni barabara ya mwika kuanzia mwika mahakamani mpaka kwa kilele na mpaka kkkt kiruweni ukitoa hizo aniambie kama kuna zngne..
Mbahe,kilema chini,kilema juu,mamba,kirua huko kote hakujaguswa

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa huelewi kuwa mradi huo ulikuwa umesitishwa na DC?
kwanzia wiki ya 2 ya January barabara zote za Jimbo zilizobaki ndio zitamaliziwa? ulikuwepo marangu TTC siku ya 29/12 usikie mrejesho wa jambo hilo?
kama mradi ulisitishwa kwa karibu miez 3 ulitegemea hizo barabara ziisheje?
haya njoo hapa wewe Tomaso" sundoka na instanbul
mwenzio mwenye wivu kadhibitisha kuwa ni kweli mradi upo japo Ana wivu vp bado mnahitaji ushahidi?
 
Ulikua unabisha ulizan vunjo unaijua pekeako..?

Sasa mbona Hawa wenye wivu wenzio kina sundoka wanasema eti huo mradi haupo na kwamba nachoandika ni uongo?
je umeelewa ufafanuz niliokupa kuhusu mradi huo kusuasua kwa takribani miez 3?
naomba wiki ijayo Uwe shahidi mradi huo utaendelea kama kawa kwa maeneo yote yaliyobaki tunataka Kilimandjaro iendeleze rekodi ya kuwa mkoa Bora wenye miundombn
maana kwa mujibu wa serikali Kilimandjaro ni mkoa wa pili tz kuwa na makazi bora baada ya dar,pia ni mkoa wa 2 tz wananchi wake kuwa na kiwango kidogo cha umaskini 14%) wakati huo kagera kwa kina sundoka ni mkoa wa 3 wananchi wake kuwa na kiwango kikubwa chá umaskini (38%)
 
Sikuona umuhimu wa kuja marangu ttc wakati wiki tatu nyuma mbatia alikuja himo hapa na akafanya mkutano but hakuyasema yote hayo unayosema ww...
Na swala la dc kusimamisha huo mchakato ni baada ya viongoz wa ccm jimbo la vunjo kumpelekea malalamiko kwamba wananchi wanalalamika hii michango kwao imekua kero na hawarizishwi na namna inavyokusanywa...

Sent using Jamii Forums mobile app
hao viongoz wa ccm walioshirikiana na DC ni waongo, mbona hizo hela bilion 7.2 zilishachangwa tangu mwezi wa 8 na zipo kwenye akaunti ya vdc?(kamati ya maendeleo vunjo)
Sasa ni michango ipi hiyo? sisi watu wa diaspora Pia tulitoa fungu letu mwezi ule wa 7 mwishoni na juzi dr shao akaeleza mpango wote na akatuambia jpm baada ya kupuuza propaganda za ccm waliotaka kuhujumu huo mradi aliwapuuza ndipo akaagiza uendelee, ingekuwa ni kweli wananchi wanalalamika basi jpm asingeuruhusu
nadhani tumeelewana
 
Kwa tafiti zipi znazokufanya useme kuwa kilimanjaro ni wa pili...?
tembea kwanza uone alafu ndo uje useme hivo na usisahau kwamba kilimanjaro hasa jimbo la vunjo maana ndo nnapopajua zaid mvua ikipiga kidogo tu basi barabara zake ni changamoto
Sasa mbona Hawa wenye wivu wenzio kina sundoka wanasema eti huo mradi haupo na kwamba nachoandika ni uongo?
je umeelewa ufafanuz niliokupa kuhusu mradi huo kusuasua kwa takribani miez 3?
naomba wiki ijayo Uwe shahidi mradi huo utaendelea kama kawa kwa maeneo yote yaliyobaki tunataka Kilimandjaro iendeleze rekodi ya kuwa mkoa Bora wenye miundombn
maana kwa mujibu wa serikali Kilimandjaro ni mkoa wa pili tz kuwa na makazi bora baada ya dar,pia ni mkoa wa 2 tz wananchi wake kuwa na kiwango kidogo cha umaskini 14%) wakati huo kagera kwa kina sundoka ni mkoa wa 3 wananchi wake kuwa na kiwango kikubwa chá umaskini (38%)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu hiyo habar ya viongozi wa ccm jimbo la vunjo
hao viongoz wa ccm walioshirikiana na DC ni waongo, mbona hizo hela bilion 7.2 zilishachangwa tangu mwezi wa 8 na zipo kwenye akaunti ya vdc?(kamati ya maendeleo vunjo)
Sasa ni michango ipi hiyo? sisi watu wa diaspora Pia tulitoa fungu letu mwezi ule wa 7 mwishoni na juzi dr shao akaeleza mpango wote na akatuambia jpm baada ya kupuuza propaganda za ccm waliotaka kuhujumu huo mradi aliwapuuza ndipo akaagiza uendelee, ingekuwa ni kweli wananchi wanalalamika basi jpm asingeuruhusu
nadhani tumeelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekwambia Kwa wahaya Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mbona huwa mnachukiaga tukitaja mkoa wa kagera ? huwa mnapendaga tutaje kwa wahaya tu
mbona mmi huwa naitaja Kilimandjaro kiujumla? bila kujali uchagani au upareni?
kwann mnabaguana mkoa mmoja? ndio maana mligawa majimbo katoliki kwa ukabila hapo kagera
jimbo la bukoba ni kwa wahaya tu,jimbo la rulenge ni ngara tu,jimbo la kayanga ni kyerwa na karagwe kwa wanyambo hii ni hatari
 
Braza una wivu sana hebu na sisi wa mikoa mingine tuwaige hawa ndugu zetu ni mfano bora
Asante mkuu kunywa soda popote nitalipa Asante kwa kumuumbua huyu mtu mwenye chuki na maendeleo yetu,eti anataka kuifananisha Kilimanjaro na kagera kwa maendeleo vituko
lindi mkoa wako umeipita kagera kabisa kimaendeleo manake lindi haipo mikoa maskini lkn kagera yao ni ya 3 kwa umaskini ni chuki inamsumbua mkuu
 
Na muache kuleta siasa kwenye maendeleo maana mlichomfanyia mrema sio sawa kabisa haiwezekan barabara ichongwe alafu kile kipande kilichobakia kwake ndo mmekiacha kama kilivo
nakuhakikishia kwanzia wiki ya 2 ya January barabara zote zilizobakia zitaanza kufanyiwa kazi Dr Martin shao juz alituhakikishia Wana vdc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom