Lami zipo ila ni kwa barabara kuu tu hakuna barabara yoyote inayoingia mtaani yenye lami jimbo zima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba jimbo zima halina lami??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba jimbo zima halina lami??
Mkuu unakuja vizuri so umekiri kuna lami huko vijijiniLami zipo ila ni kwa barabara kuu tu hakuna barabara yoyote inayoingia mtaani yenye lami jimbo zima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakuja vizuri so umekiri kuna lami huko vijijini
Hivi ile shule ya KENI ALENI SEC mmeshaimalizia mana ilikuwa ukipita kutoka MENGWE kwenda TARAKEA unawaona wakiwa darasani ghorofa ya kwanza ikiwa wazi kabisa.unataka chanzo kipi wakati nimekwambia itv?
hebu fwatilia official page ya itv utaiona hbr yote Sasa chanzo kingine ni kipi?
2_eti huo utaratibu ni mpya kwetu ? naona unaota wewe,wachaga tangu enzi za mkoloni huwa Wana vikundi vya kuchangiana popote walipo,ndio maana miundombn imejaa tele hizo ni nguvu za wananchi n'a m serikali kutupiga tafu kidogo
mfano ujenzi wa shule Kilimanjaro haina uhaba wowote wa majengo kwa karibu miaka 20 sasa wakati kwenu kagera zaidi ya wanafunz 15 elfu wameshindwa kwenda sec kwasababu ya ukosefu wa madarasa
ulishakatika sikia Kilimanjaro Kuna ukosefu wa madarasa? poleni na mbwembwe zenu
imekamilika kwa 80% ikikamilika yote 100% ,itakuwa ya A level,ni kawaida shule za kata za magorofa KilimanjaroHivi ile shule ya KENI ALENI SEC mmeshaimalizia mana ilikuwa ukipita kutoka MENGWE kwenda TARAKEA unawaona wakiwa darasani ghorofa ya kwanza ikiwa wazi kabisa.
barabara ya mwika marangu hadi himo ni lami je hiyo ni barabara kuu?Lami zipo ila ni kwa barabara kuu tu hakuna barabara yoyote inayoingia mtaani yenye lami jimbo zima
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mbatia na mrema wanajuana hata bungeni si uliona walivyokuwa wanaparuana?Na muache kuleta siasa kwenye maendeleo maana mlichomfanyia mrema sio sawa kabisa haiwezekan barabara ichongwe alafu kile kipande kilichobakia kwake ndo mmekiacha kama kilivo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mbatia na mrema wanajuana hata bungeni si uliona walivyokuwa wanaparuana?Na muache kuleta siasa kwenye maendeleo maana mlichomfanyia mrema sio sawa kabisa haiwezekan barabara ichongwe alafu kile kipande kilichobakia kwake ndo mmekiacha kama kilivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwehu huyo achana naye huyo..Uwiiii weee kaka ni mwongo. Leo hii Kilema kunapitika kwa gat njia yote ni lami ww unasemaje? Hadi kimaroroni ni lami tupu
Wanawivu wa kike Mshiki wako kumbe wa kirua tupo wengi hapa.watu mna wivu na maendeleo ya Kijiji chetu,badala ya kupiga soga JF,mngeanza kumobilize watu wa kwenu 'wachonge' hata hizo bara bara za vijiji mwenu!
Umenkumbusha SHIDATSU
Tatizo hayapo. Yapo kwenywe vinywa vyenu vyenye meno meusi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Inaonekana maendeleo ya Vunjo yanawanyima watu usingizi.
Tatizo mmezoea mineno kama watu wa pwani!! Sasa wewe kuleta tu hapa hiyo unayonielekeza unashindwa nini? Mimi nimeangalia kwenye official page ya ITV sijaiona, kwenye taaeifa ya habaei ya tar 01.08.2018 kama ulivyosema haipo. Bila shaka na wewe unapata tabu ya kuileta hapa kwa maana HAIPO! Kama ipo ilete.unataka chanzo kipi wakati nimekwambia itv?
hebu fwatilia official page ya itv utaiona hbr yote Sasa chanzo kingine ni kipi?
2_eti huo utaratibu ni mpya kwetu ? naona unaota wewe,wachaga tangu enzi za mkoloni huwa Wana vikundi vya kuchangiana popote walipo,ndio maana miundombn imejaa tele hizo ni nguvu za wananchi n'a m serikali kutupiga tafu kidogo
mfano ujenzi wa shule Kilimanjaro haina uhaba wowote wa majengo kwa karibu miaka 20 sasa wakati kwenu kagera zaidi ya wanafunz 15 elfu wameshindwa kwenda sec kwasababu ya ukosefu wa madarasa
ulishakatika sikia Kilimanjaro Kuna ukosefu wa madarasa? poleni na mbwembwe zenu
Wanafikiri watu wamelala. Pambafu na nusu. Wakawadanganye wake zao wanaowatoroka huko na kukimbilia mjiniTena ni barabara chache tu mkuu ndo zimekarabatiwa kama barabara ya himo kwenda makuyuni,barabara ya marangu sembeti,barabara ya marangu mshiri,marangu masia na marangu uomboni na mwisho ni barabara ya mwika kuanzia mwika mahakamani mpaka kwa kilele na mpaka kkkt kiruweni ukitoa hizo aniambie kama kuna zngne..
Mbahe,kilema chini,kilema juu,mamba,kirua huko kote hakujaguswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi story umeanza kutupa tangu post #10 mkuu. Hebu ona aibu basi njoo na kitu kipya. Ifike hatua tukue jamani.huyo Wala sio mwana vunjo
hiyo moramu ilisitishwa kumwagwa kwasababu mradi huo ulisitishwa na DC wa moshi
mbatia akaenda kushtaki inakuaje wananchi wachange bilion 7 kujenga barabara alafu DC azuie? ndipo mwishon mwa November jpm akaruhusu uendelee
kwahiyo huyo asidhan kwamba eti moramu hautaendelea kumwagwa trh 29 tulikuwa marangu TTC ktk siku ya Wana vunjo askafu Dr Martin shao ambae ni Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo vunjo akasoma ripoti nzima,wiki ya 2 ya January mradi utaendelea Kama kawaida poleni wenye chuki
fwatilia itv waliripoti kwa kina hiyo hbr
The same stories. Ilianza ikafungwa, ikafunguliwa, ikainama, ikajamba, ikaruka ruka.....blah blah!sasa huelewi kuwa mradi huo ulikuwa umesitishwa na DC?
kwanzia wiki ya 2 ya January barabara zote za Jimbo zilizobaki ndio zitamaliziwa? ulikuwepo marangu TTC siku ya 29/12 usikie mrejesho wa jambo hilo?
kama mradi ulisitishwa kwa karibu miez 3 ulitegemea hizo barabara ziisheje?
haya njoo hapa wewe Tomaso" sundoka na instanbul
mwenzio mwenye wivu kadhibitisha kuwa ni kweli mradi upo japo Ana wivu vp bado mnahitaji ushahidi?
Naona jimbo la Same ni kwa wachaga.hahaha mbona huwa mnachukiaga tukitaja mkoa wa kagera ? huwa mnapendaga tutaje kwa wahaya tu
mbona mmi huwa naitaja Kilimandjaro kiujumla? bila kujali uchagani au upareni?
kwann mnabaguana mkoa mmoja? ndio maana mligawa majimbo katoliki kwa ukabila hapo kagera
jimbo la bukoba ni kwa wahaya tu,jimbo la rulenge ni ngara tu,jimbo la kayanga ni kyerwa na karagwe kwa wanyambo hii ni hatari
Mkuu Mangi uliyeotea, mimi sikatai kumpa mtu sifa yake. Kwanza katika watu wanao appreciate watu wanaofanya jambo jema regardless origin yao mimi ni wa kwanza. Shida ya hawa wenzetu akina nyinyi mnataka sifa zote mchukue nyie. Yaani hakuna sifa inayotakiwa kuchukuliwa na mkoa mwingine. As if nyinyi ndio super men wa Tanzania kumbe choka mbaya tu! Hivi imagine unapostiwa uzi ambao hauwagusi wao hata kidogo bali unaigusa Kagera na mafanikio yake katika ufaulu kielimu watu na wivu wenu mnataka kukaa kidete kuhakikisha hiyo sifa haiendi Kagera, nayo mnaitaka nyie! Mbaya zaidi mmeshaitaka basi onyesheni vielelezo, hamna! Ni maneno ya sifa tangu reply ya kwanza hadi ya 1k. Tunaanzaje kuwanyamazia watu wenye sifa za kipuuzi kama hizi??Braza una wivu sana hebu na sisi wa mikoa mingine tuwaige hawa ndugu zetu ni mfano bora