WanaKAHAMA wamkumbuka NGELEJA.

WanaKAHAMA wamkumbuka NGELEJA.

Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni.

Siku iliyofuata umeme ulikuwepo siku nzima lakini leo jumapili umeme umekatika tangu alfajiri hali ambayo imesababisha adhana kutosikiwa na waislam wakati wa swala zao, makanisani ibada zimefanyika bila ya vyombo vya muziki hali kadhalika wale waliofika kahama, huu ni mji wa viwanda vingi hivyo uzalishaji haupo kwa leo.

Hapa inaonesha kuwa kuachia ngazi kwa Ngeleja kahama imeanza kuona umuhimu wake, maana kipindi yupo umeme uliachwa kukatwakatwa kama ilivyo sasa. SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.

Mkuu mbona sijakupata. Kwani Ngeleja ni sawa na 'Megawatt zilizokwenye grid ya Taifa na hivyo kumuondoa ni sawa na kupunguza supply?'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom