Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,367
- 108,522
Nili miss quote mkuu
Nimeshamtaka radhi!!!!
Haina mbaya kaka...maana huo mkwara wake nikahofia usijerushiwa kitu cha ncha kali
Nili miss quote mkuu
Nimeshamtaka radhi!!!!
Mkuu Mapunda kuokoa penalty basi mmempa ulaji msimbazi.
Heeeee:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Ndo unazidi kunichanganya!!!Mbona haraka hivyo?
Huko sio kwa kuzungumzia sasa
Kuna mambo kabla ya kwenda huko!
Kumbe eenh...basi itabidi kurejea huko siku moja kuona vile mji wa Sumbawanga ulivyokua
eti more than friendship sijui ndio kinini hiko mie sielewi kabisaaaaaaaa
Heeeee:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Ndo unazidi kunichanganya!!!
hahahaah...mbona wanajangwani mnaanza kuweweseka? Bado ni tetesi tu...
Haina mbaya kaka...maana huo mkwara wake nikahofia usijerushiwa kitu cha ncha kali
Haya basi siku njema padre!!Nakuchanganya au unajichanganya bibie?
Sasa mimi nimekuchanganya wapi?
Nakuchanganya au unajichanganya bibie?
Sasa mimi nimekuchanganya wapi?
username ....move ya beyonce! nimetoka kuwatch kama leo ss kesho yake nikajiunga jf was real obsesd na ile movie bs nikajikuta nimeandika ilo.
avatar! me toto la kisomali fulan iv shombe shombe baibe.
Inaonyesha wewe bingwa wa kutongoza
username ....move ya beyonce! nimetoka kuwatch kama leo ss kesho yake nikajiunga jf was real obsesd na ile movie bs nikajikuta nimeandika ilo.
avatar! me toto la kisomali fulan iv shombe shombe baibe.
Haya basi siku njema padre!!
Kuna mpambano nani mtani Jembe karibu Dar mpwa.
hebu tupia kapicha:A S-confused1::A S-confused1: