yaani acha tu.
Ok! Ndio nilihisi unaweweseka ndotoni! Na hata uliposhtuka uliniangalia kwa haya na Guilty fulani kwa Sababu Ulimtaja Mia, Bujibuji na Washawasha ( Sijui ndio iliwaona ndotoni) lakini baada ya ku realize kwamba ni ndoto ulienedelea Kulala! Ila ipo siku nitakubaini tu
michelle kweli unaniombea balaa,kweli tungejifunza hasa mm ila ndo ingekua too late.
Yaaani Cheusi wewe.... Dah! Bado roho yangu inadunda! lol
michelle kweli unaniombea balaa,kweli tungejifunza hasa mm ila ndo ingekua too late.
Mie nimejifunza kitu kimoja kikubwa,
Tujitahidi kutumia vizuri PM!!
Babu DC!!
Hahahahaha lol! Mume anamtongoza Mke kupitia JF. Fikiria hilo varangati lake siku hiyo watakayoamua kukutana. Sijui ni yupi atamuona mwenzie ni "mcharuko" zaidi.
Wewe huaminiki, kwa ushauri huu! Mh!
Kwani mie ndiye niliyezimia??
najua ingetokea kweli na ikatufikia hapa kibarazan wengi wangejifunza,na pia nadhan tatizo lingesababishwa na pm ila kwa upande wangu ni kwamba sipend tu kujulikana lkn kama jamaa yangu akinijua kuwa mi ndo cheusie wala angeshangaa sana lkn pasingekuwa na tatizo sbb kwanza ningemruhusu hata akitaka pm nimuoneshe kwa sharti la yeye anioneshe pia,akigoma ndo hapo kibao kitamgeukia.Hapana Cheusi mzuri,sikuombei balaa, nakuombea heri sana...both sides zingekuwa na wakati mgumu...ininatamani...lol
Mie nimejifunza kitu kimoja kikubwa,
Tujitahidi kutumia vizuri PM!!
Babu DC!!
Sijui. Ila utuambie kama ni wewe uliezimia au la!
Hapo mshindi atakuwa ni yule ambaye atapata ujanja ujanja haraka na kuweza kumgeuzia kibao...
Unamweleza kuwa mie nilikujua mapema tu na kuamua kukuwekea mtego kama ule wa Kokutona na BF kwenye Facebook!!
asante kwa kujifunza ila babu mbona unaonekana kama una hofu kidogo.
mfano bib DC siku akikugundua kuwa ww ni mwanajf hlfu akakuomba umruhusu achungulie pm chamber yako itawezekana?
kweli utu uzima dawa,kama si babu DC mbinu kama hiz za kukwepea vihunzi siku nikikamatwa ningezijulia wapi.Nimejifunza kitu toka kwa babu.
Nilipata hofu kwa sababu nilijua kinachofuata ni kutuma salamu za R.I.P!! Babu hataki ya mambo ya kuwapoteza wajukuu kabla
hawajamaliza kibarua cha kuijaza dunia!!
Kwa babu hakuna noma kabisa, Bibi DC siyo kwamba anajua login name tu bali hata password....
Siku tukionana nitakupa namba yake umuulize...kwani wadau hawakawii kusema kuwa babu ni mwongo!!
Halafu wewe...Umeweza nini hadi ukaja na story hii....au kuna ka ukweli ndani yake??
Babu DC!!
Hahahahahahah,
Yaani na utundu wako na vituko vyote hujui kuwa mwenye kisu kikali ndiye atakayekula nyama tena ile cut iliyonona???
We achana na soo la kufumaniana bwana.....
Babu DC!!
nimefurahi sana kusikia bibi DC anaijua hadi password.
kuhusi hayo mengine wala usiwe na shaka wala R.I.P haihusiki upande wangu kwa sasa niko makin.
msalimie bibi DC.
babu kweli mm nina utundu na vituko:A S embarassed: lkn utundu wangu lkn na utundu wangu wooooooooooooooooooooote sijawahi kufanya mambo ya kulisaliti penzi langu ndo mana pia hata mbinu za kujitetea ktk hayo mambo sina,yaan ktk hayo mambo mm ni limbukeni.