wanaJF niliokutana nao.....wamenisababishia balaa

Si bora wewe ni ndoto!
Mimi juzi imenitokea live....
mtoto wangu..tototundu kaja mbio
niko na shemeji yenu akatangaza mbele ya baba yake

"mum..we ndo Black Rose?" ........
baba yake akauliza "Nini"....nikamkazia macho mtoto.....kisha
nikamgeukia shem wenu " darling ..si unajua tena hadithi za watoto wanazofundishwa nursery school"?
basi shem wenu akaendelea kucheki Man U na Man city game...Nikashusha pumzi!
jasho lilinitokaje!?
 
sheeeeeeeenzi nimepoteza muda wangu woote huu kusoma hii SHIGONGO kumbe mwisho wa siku ni ndoto.

:focus: shemegy hawezi kukuacha inategemea labda ashawahi kukutongoza kupitia pm na ukalainika.

hivo kachanganyikiwa.

labda ndoton lkn ktk hali halisi sijawahi kulainishwa na pm
 
sheeeeeeeenzi nimepoteza muda wangu woote huu kusoma hii SHIGONGO kumbe mwisho wa siku ni ndoto.

:focus: shemegy hawezi kukuacha inategemea labda ashawahi kukutongoza kupitia pm na ukalainika.

hivo kachanganyikiwa.
tehe tehe tehe tehee!!
Shimbony msoro!!
 
ah ah ah lol u made mai dei,nadhani amekuwa akisoma threads zako,na maybe aliwahi kukutongoza ukakubali as u said,au amekuwa akikerwa na huyo cheusi mangala,so kashangaa mtu anaemkera ndo mkewe mpz,nadhani nimejitahidi kujibu na kuchambua ndoto yako kama joseph(bible)au tukamuulize sheikh tafsiri ya ndoto hiyo? but uwazi na ukweli ni muhim,mm popote na yyte anaenifaham niite tu pearl walaaaaaaaaaaaaaaa sina tatizo kabisaaaaaaaaa

nina mpango wa kuja na id mpya yenye utulivu.
na ww kisa cha kupotea hivyo ni nin jamani,kwa kweli nilikumiss sana na nimefurahi kukuona mpendwa wangu
 
Aisee...Now Iam breathing again!..Uhhh, and the POPE must know this!

Unajua kuwa umeandika kitu ambacho ni tishio sana kwa baadhi yetu?...I think u know what i mean!

pole PJ,siwezi kuwa chizi kiasi hicho,huna haja ya kutia shaka kabisa.Who is pope?
 
ah ah ah maisha tu dear,wakati mwingine unaangalia upande wa pili wa dunia,kiukweli kuwa vile ulivyo ni muhim sana,mm najijua nilivyo nadhani hata niki act kuwa si mm ngum kwakeli,so niko huru na wengi nao fahamiana nao alwaz wananiita hivyo hivyo pearl,ukishindwa kuja na ID nyingine si shida just be u.Happy new year.
nina mpango wa kuja na id mpya yenye utulivu.
na ww kisa cha kupotea hivyo ni nin jamani,kwa kweli nilikumiss sana na nimefurahi kukuona mpendwa wangu
 
hahaha Cheusimangala, vituko vyako hivi hivi ndo vilivyomfanya shemeji kazimia kwenye ndoto. Hebu fikiria ikitokea live si ndo utamuua kabisa shemeji yetu? punguza vituko bana.

hivi na upole wangu huu wote mnasema nina vituko?hivi mm nina vituko kumbe ndo mana mtu akazimia,nakuja na id mpya soon.
 
Si bora wewe ni ndoto!
Mimi juzi imenitokea live....
mtoto wangu..tototundu kaja mbio
niko na shemeji yenu akatangaza mbele ya baba yake

"mum..we ndo Black Rose?" ........
baba yake akauliza "Nini"....nikamkazia macho mtoto.....kisha
nikamgeukia shem wenu " darling ..si unajua tena hadithi za watoto wanazofundishwa nursery school"?
basi shem wenu akaendelea kucheki Man U na Man city game...Nikashusha pumzi!
jasho lilinitokaje!?

uwiiii sipati picha,jasho lazima likutoke,
lkn ww hata mtu akikujua sio kama mm,mm huku sijui kwa nin niko hiv kusema ukweli hata ukikutana na mm huwez dhan kuwa ndio cheusie kwanza nina sura ya upole ajabu na kwanza uraian sio muongeaji watu wengi wanajua mm ni binti mpole.
 
Cheusimangala umepinda walah tena, daah sio bure shemeji alizimia. Nimecheka sana hapo kwenye tukairushe jukwaa gani...lol
 
uwiiii sipati picha,jasho lazima likutoke,
lkn ww hata mtu akikujua sio kama mm,mm huku sijui kwa nin niko hiv kusema ukweli hata ukikutana na mm huwez dhan kuwa ndio cheusie kwanza nina sura ya upole ajabu na kwanza uraian sio muongeaji watu wengi wanajua mm ni binti mpole.​

sasa Cheusi mbn unajititetea?
 
Aisee...Now Iam breathing again!..Uhhh, and the POPE must know this!

Unajua kuwa umeandika kitu ambacho ni tishio sana kwa baadhi yetu?...I think u know what i mean!

Kumbe "UPakaJimmy" ni hapa hapa tu ukumbini? Nimepata deal: Kinachofuata ni kumtambua live member anaejitia ubabe humu ndani (then partner wake), halafu BLACKMAIL inaanza pole pole. Kwa nini nisiwe tajiri within days?

Asha Dii, Kibanga, Kimbweka, Zinduna, Husninyo na MR (and co) YOU HAVE BEEN WARNED!!!
 
uwiiii sipati picha,jasho lazima likutoke,
lkn ww hata mtu akikujua sio kama mm,mm huku sijui kwa nin niko hiv kusema ukweli hata ukikutana na mm huwez dhan kuwa ndio cheusie kwanza nina sura ya upole ajabu na kwanza uraian sio muongeaji watu wengi wanajua mm ni binti mpole.
Kwani unadhani kutokuta ufahamike ni kwa vile mcharuko?
Hapana, mtu unataka ujiachie full bila kujali nani anakusoma.
Ukijua nani anakusoma, inakunyima uhuru.

si bora wewe ni ndoto!
Mimi juzi imenitokea live....
Mtoto wangu..tototundu kaja mbio
niko na shemeji yenu akatangaza mbele ya baba yake

"mum..we ndo black rose?" ........
Baba yake akauliza "nini"....nikamkazia macho mtoto.....kisha
nikamgeukia shem wenu " darling ..si unajua tena hadithi za watoto wanazofundishwa nursery school"?
Basi shem wenu akaendelea kucheki man u na man city game...nikashusha pumzi!
Jasho lilinitokaje!?
loh mimi ndo maana wkend huwezi nikuta huku. Suppose upo mahali ukiacha simu umeenda toilet ? Balaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom