wanaJF niliokutana nao.....wamenisababishia balaa

wanaJF niliokutana nao.....wamenisababishia balaa

Kwani hizi ID zinaficha nini mpaka vijasho viwatoke?
 
Nsharukwa roho juu! Umeniudhi sababu umenipiga chenga ya mwili, hate you for that!

Uzuri mie hakuna atakayeamini kama naweza kuwa ndie huyu.

pole kwa chenga mpendwa wangu i hate u too.
 
Hahahahaha lol! Mume anamtongoza Mke kupitia JF. Fikiria hilo varangati lake siku hiyo watakayoamua kukutana. Sijui ni yupi atamuona mwenzie ni "mcharuko" zaidi. 🙂🙂

mara nyingi mwanamke ndo ataonekana mcharuko zaidi.
 
.....hahahha kumbe ndoto!! Mie kuna siku nilimfuma hubby live akichat JF........sikujua kama naye ni active member. Ila nimejikausha kana kwamba sijui JF.

usikute anajua lkn anadhan ww hujui kama yeye na yeye tunaye humu.
 
Kwanza sidhani kama unawakubali wanaume kiurahisi (labda najidanganya, ila ndio ninavo hisi).
Atakua amezimia sababu anamchukia sana cheusimangala na kila siku anamtakia vitu vibaya kama kufiwa na mume hivi.lol

hapo red kweli lazima azimie kwa kweli maana usikute kila akiingia jf akiumuona cheusie sura inajikunja kwa hasira.
 
Kungwi wako Ashadii ushamweleza ndoto hii?kasemaje?

usimtaje ashadii maana nsikia aliposoma hakuweza kumaliza story yote hadi mwisho na yeye presure ikampanda hivyo hata hajui kuwa ni nndoto tu.
 
cheusie kuanzia sasa nitakua nakutizama kwa jicho la tofauti kidogo.............................!unaonekana ukiamua unaweza kuwa mtunzi mzuri sana...................!sikuwahi kuwaza kama unaweza kutunga kitu kizuri namna hii..............hichi ni kipaji.......................!story yako mbali ya kwamba imenifanya nicheke sana..................!imenifundisha......................hiki ulichokiandika umekipotray kama ndoto lakini kinaweza kutokea kweli.........................!hapa kuna somo kubwa nimejifunza...............................!heshima kwako.

asante sana fatherxmas,heshima kwako pia.
 
Back
Top Bottom