Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
hivi Mtambuzi nae kaenda huko mbona nahisi mnatania,wakati namuona hapa mjini analandalanda anatafuta nguo za sikukuu za wanae ukizingatia familia imekua au kuna pacha wake ndo kaenda huko.
NB:Jamani kwa wale wanaopenda kukata kiu ugenini mkumbuke ndom hatutaki mrudi mkiwa mmekumbwa na majanga.nawatakieni kheri.
Erickb52 mambo ya kuondoka tanga bila kurudisha boxer yangu sipend,uliazima kwaajil ya x-mass tu hatujakubaliana uendenayo tanga
Una bahati mbaya hukuipata ile yenyewe. Poor you, kwanini lakini?Today i got alot of suprises. I was happy to see you guys
Si ndio namshangaa? Uwenyeji gani huu?Arabela mbona umewahi ivo kuondoka?
Hehehehe! Unauliza vumbi stoo? Sisi hawoooooo! Kawaida kama sheria:becky::becky::becky:kumbe Kaizer upo?
Hahahaha! Wifi umeingizwa chaka lol. Pole weye
Hehehehe! Washaingia vyumbani lol
Hiyo ndiyo Tanga Blaki Womani; Tanga aihami na ndiyo kauli ya wenyeji wa huko!!!! Hongereni sana na nazidi kumshukuru Mwenyenzi MUNGU kwa kuendelea kuwafunika na damu ya mwanae wa pekee!!!
Jamani mnanitamanisha, acha na mie nianze safari ya kuja huko, najua hadi saa 8 ucku nitakua nimefika. Nitalala kwa nani jamani sasa eeeh!
sikukuu umekula na nani?
Kwani wewe umekula na nani?