Bado b52Today i got alot of suprises. I was happy to see you guys
kumbe Kaizer upo?
Hehehehe! Washaingia vyumbani lolnyie wanajf tanga, mnafanyana nini mbona wote mmepotea ghafla!!! mnapigiana story eeeh
Nipo kibaha maili moja nakuja hukoooo jamani mnipokeee, naomba nilale chumba kimoja na sijui naniii vile nimemsahauHehehehe! Washaingia vyumbani lol
Hehehehe! Washaingia vyumbani lol
sijui watakuwa wanafanya nini hukoooo. mrudi salama jamani
Biya+mbuzi choma+live band dadadaki huna bahati Husninyo! BTW kwanini mnajinyima raha hivoo? Mnatia huruma ila hamjijui.