Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

Kwa hiyo kumpiga kwakushirikiana waliweza ila kumbaka wakashindwa? Ama alipenda mchezo ndo maana anaficha hiko kingine?Tuacheni masihara.
 
Hilo jambo linawezekana kabisa. Either Wamembaka baada ya Kumpiga au Walimpiga baada ya kukataliwa kupewa vitu hayo yote ni makosa makubwa kabisa ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho na lazima wachukuliwe hatua za kisheria.

Jeshi letu la Tanzania haliko friendly to Citizens. Mindset zao ni mbovu kabisa na wanajiweka kuwa wako above the law. Mwanajeshi ukimbishia hata kama ni haki yako basi watakuchangia kukupiga hadharani. Haya mambo tunaona kila mara. Utakuta gari za jesho au Polisi ndio zakwanza kuvunja sheria barabarani pasipo kuwa na emergency yoyote. So are they above the law?? Na utaona hakuna mtu anayezungumza, si vyombo vya habari wala Social media hazi condemn upuuzi huu. Tuko very quite ni kama tumeridhika. Huu ni ujinga wetu watanzania. Media zetu kazi kuandika umbeya tu na kubobea kwenye siasa. Hazina mchango wowote katika kuleta mwamko na mwelekeo wa sheria nchini.

Ukiharibikiwa na gari yako barabarani mbele ya kambi ya Jeshi basi watakuja kukutisha na kukudhalilisha hata kama uko na familia yako. Badala ya wao kukupa msaada au kukusogeza sehemu ambayo utapata msaada. Jeshi kazi yake kulinda na kuhudumia Raia wakati wa matatizo, maafa na kulinda usalama. Wananchi hawapaswi kuogopa Jeshi. Mungu aepushe mbali nchi yetu ikitokea mapinduzi ya Serikali Jeshi ndio litakuwa la kwanza kuhujumu watu na kubaka watoto wakike na kuvunja nyumba za watu.

Jeshi latakiwa kuwa wapole kwa Raia. Na endapo watafanya kitu tofauti na maadili ya Jeshi hatua zichukuliwe papo hapo. Lazima tu adopt utilization of law like developed countries. There is no one ABOVE the law. Time imefika kwa Watanzania kujua haki zetu.

Msichana Neema ni Shujaa na amedhulumiwa haki zake za msingi nchini mwake. Lazima apewe support na hili jambo lifikishwe kileleni mwa sheria.
 
Huyo kapigwa na mumewe aache kusingizia wanajeshi.Hivi wanajeshi wanapiga hivyo ....
 
Hata kama binti ana makosa sheria ingetumika na sio kumfanyia shambulio la mwili.
No saw ila mm nilichokuwaa nakataa ni wao kusemaa eti aligomaa kubakwaa ndio wakaa mchapaa fimboo tn na wenginee wanamsifiaa kbs eti hongeraa kwa ujasirii ulioneshaa na hp ndio nimegunduaa kwaa nn ndoa nying zinavunjikaaa
 
Mambo ya kijeshi Sio mazur kuyazungumzia ovyo ovyo

Ngoja kwanza nikitoka lindo nitawaeleza kwa nin.....??
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Huenda hawakumbaka kwakuwa lengo lao halikuwa kumbaka bali kumwadhibu tu
 
Kwako Neema,wewe ni shujaa.
Maumivu hayo uliyoyapata kwa kipigo yana mwisho,ila endapo ungekubali kufanyiwa walichokitaka hakika maumivu na kovu lake lisingefutika moyoni mwako milele.
Hongera [emoji123]
Kwa structure ilivyo na jeraha hizo mgongoni nachelea kusema kwamba si haba wamembaka maana huo mgongo umesuguliwa chini na ndio chanzo cha hayo majeraha hata yalivyo kaa na kujipanga hapoo mgingoni ni dhahiri alilazwa chali kukawa na kukuru kakata akiwa chali sina hakika lakin nahisi kwa mujibu wa picha ilivyo. Aende kuripoti kituo cha polisi kilicho karibu naye kwa hatua za awali
 
Habari nyingine huwa si za kuaminika kama hii, kwanza ni vigumu kwa mwanajeshi kumpiga raia wa kike, pili ni vigumu kwa mwanamke mmoja kuwazuia wanaume watano ikiwa wamedhamiria kufanya yao, Tatu wanajeshi ni waelewa sana na huwa hawampigi mtu bure bure tu Bila sababu za msingi, kama hii ingekuwa ni kweli naamini ingekuwa tayari imeshatoka kwenye vyombo vya habari kwa jinsi wanajeshi walivyokuwa hawapendwi.
Hii habari bado SIIAMINI
 
Nashindwa kuelewa slogan ya JF inayosema Great Thinkers. Yaani asilimia 90 wana comment kuonyesha ni kweli 100% kama kina Nifah nk. Wengi humu ni makanjanja tu, no great thinker.
Hivi mwanajeshi anaweza kumpiga hadi kumjeruhi mwanamke kiasi hicho!?
Hivi kweli wangeshindwaje kumbaka
mwanamke. Nadhani wangetaka kufanya hivyo huyo mwanamke asingeweza hata kupiga kelele maana hiyo sauti isingetoka.

Akili yangu imeshindwa kuamini hii taarifa. Otherwise nipate kwenye vyanzo vya uhakika zaidi. Sio hapa waliponiaminisha kuwa Lowasa Kashinda
 
Uongo mbaya cku ya mwisho utachapwa vboko hayaa
 
Back
Top Bottom