Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

Sidhani kama kabakwa,askari wote hao wasingeshindwa kumbaka.Huyo msichana atakuwa aliingia kwenye hifadhi na kuanza kuokota kuni, halafu alipo-hojiwa akajifanya mjuaji.Si unawajua WaTz tena,tuko watupu lakini tunajifanya kweli kwamba tunajua.
wanajeshi wangapi? waliwezaje kumpiga wakashindwaje kumbaka? aache uongo aseme tu kapewa kipigo
 
fine tutumie fact! walishindwaje kumbaka?
kumbaka mtu kunaitaji nini?
Sija conclude kwamba walishindwa kumbaka....
Nimeendelea,
:"Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga"

Like serious? Hujui 'kinachobaka'?
Nguvu ikiwemo pia.

BTW (samahani lakini) niliwahi kukusoma huku ukisema uliwahi kubakwa,swali lako la pili limenishangaza kidogo kwakuwa tayari una 'experience'.
 
Sija conclude kwamba walishindwa kumbaka....
Nimeendelea,
:"Kama walimbaka basi ni baada ya kumpiga"

Like serious? Hujui 'kinachobaka'?
Nguvu ikiwemo pia.

BTW (samahani lakini) niliwahi kukusoma huku ukisema uliwahi kubakwa,swali lako la pili limenishangaza kidogo kwakuwa tayari una 'experience'.
kubakwa kupo nifa ila huyu amepigwa tu hyo kauli ya kusema alitaka kubakwa kaweka tu ili kupata sympath ya raia .labda aseme alibakwa kabisa ila kutaka kubakwa ilishindikana ndo akapigwa siamini kabisa
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Mimi tuu raia wa kawaida nikiamua kumbaka mwanamke hanishindi, sasa wanajeshi walishindwaje kumbaka huyo!!

Kutakuwa na shida nyingine hapo
 
Ukute wamembaka huyo unajua, mwanamke ukibakwa kusema hadharani ni aibu unaishia tu kusema wamekupiga basi, wajeda wenyewe jinsi wasivo wazima ni lile gonjwa walah.
Sijasema hawakumbaka my dear,nilichokiona hapa ni kitendo cha kupigwa ambacho kinaleta tafsiri ya njia iliyotumika baada ya binti kuleta resistance.
Hata kama alibakwa,naheshimu maamuzi yake ya kukataa ndio maana alipigwa.
Hata kwa tafsiri ya kawaida tu ni ngumu kwa mwanamke aliyebakwa kiulaini kupigwa.
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Umezunguka mbuyu.... Huyo alipigwa tu sio swala la kutakwa kimapenzi.... Kosa lake kapita sehemu isiyotakiwa so hata angekua mwanaume angepokea adhabu kama kawaida ya wajeda.... Hiyo ya kutakiwa kimapenzi ni mbinu ya wanawake kujitetea... Ni kama uibiwe na alibino je utamkimbiza?
 
Si vizuri kukubali au kuksnusha ndio maana tunspaswa kutumia meno km
Pia kwa upuuzi wetu ikiws ni wajeda tunashangilia ikiwa polisi tunalaumu. Wengine hsmjsangalia hayo majeraha.Hiyo ni binti na hakuwa na uhatari wowote ndio umpige hivi mwanamke
Kisha nikimpiga Mimi mnalaumu
 
Kwanini unajenga fikra za kuwa anatafuta sympathy?
Kwani haiwezekani?

Anyways... tungepata maelezo ya upande wa pili (watuhumiwa ~ wanajeshi)
Tungeweza kubalance habari.
kubakwa kupo nifa ila huyu amepigwa tu hyo kauli ya kusema alitaka kubakwa kaweka tu ili kupata sympath ya raia .labda aseme alibakwa kabisa ila kutaka kubakwa ilishindikana ndo akapigwa siamini kabisa
 
Umezunguka mbuyu.... Huyo alipigwa tu sio swala la kutakwa kimapenzi.... Kosa lake kapita sehemu isiyotakiwa so hata angekua mwanaume angepokea adhabu kama kawaida ya wajeda.... Hiyo ya kutakiwa kimapenzi ni mbinu ya wanawake kujitetea... Ni kama uibiwe na alibino je utamkimbiza?
mkuu umeniacha hoi
🙂😉
 
Mmmh sasa ile kambi yenye wanajeshi zaidi ya mia tano wote walishindwa kumshika kikamilifu?

Duh huyu dada ni komando wa misumari kabisa
 
Mi naona bora angesema kapigwa tu ingetosha kuliko kutuletea fix za kutaka kubakwa
Hivi kwanini mnamshambulia huyu binti kuwa kadanganya?
Wangekuwa mabint zenu wamekuja na majeraha namna hii nyumbani mngeweza kusema mnachokisema hapa?

Badala ya kummshambulia bint tungesikiliza kuhusu upande wa watuhumiwa unasemaje.

Hata kama hajabakwa kupigwa nako ni kosa pia.
Ni kinyume cha sheria.

Back
Top Bottom