Aisee!Si ya kuweka hapa
Kwako Neema,wewe ni shujaa.
Maumivu hayo uliyoyapata kwa kipigo yana mwisho,ila endapo ungekubali kufanyiwa walichokitaka hakika maumivu na kovu lake lisingefutika moyoni mwako milele.
Hongera [emoji123]
Yaani wangemfanyia hivyo ndugu yangu ningewatahir na Chupa f****k them up...Baadhi ya wanajeshi kutoka kikosi cha TMA Monduli wanaolinda chanzo cha maji katika kijiji cha Olgilai Arumeru wamemtesa kwa kipigo msichana Neema Alfred baada ya kuwakatalia tendo la ndoa walilohitaji baada ya msichana hiyo kupita eneo hilo wakati akitoka kuokota kuni.
View attachment 444616
Baadhi ya wanajeshi kutoka kikosi cha TMA Monduli wanaolinda chanzo cha maji katika kijiji cha Olgilai Arumeru wamemtesa kwa kipigo msichana Neema Alfred baada ya kuwakatalia tendo la ndoa walilohitaji baada ya msichana hiyo kupita eneo hilo wakati akitoka kuokota kuni.
View attachment 444616
Uko sahihi sana.wanajeshi wangapi? waliwezaje kumpiga wakashindwaje kumbaka? aache uongo aseme tu kapewa kipigo
Wangetaka kumbaka wasingeshindwa. Ni aina yake tu ya kutunga uongo unaofanana na ukweli. Huo ni uongo plus. Washindwe kumbaka wanaume au hata mwanaume? Crap.Kwako Neema,wewe ni shujaa.
Maumivu hayo uliyoyapata kwa kipigo yana mwisho,ila endapo ungekubali kufanyiwa walichokitaka hakika maumivu na kovu lake lisingefutika moyoni mwako milele.
Hongera [emoji123]
Nina maana yangu kama ni muelewa niliemwambia ameshanielewa.Aisee!
wanajeshi wengi wavuta bangi habari ndio hii imetoka sasaHabari nyingine huwa si za kuaminika kama hii, kwanza ni vigumu kwa mwanajeshi kumpiga raia wa kike, pili ni vigumu kwa mwanamke mmoja kuwazuia wanaume watano ikiwa wamedhamiria kufanya yao, Tatu wanajeshi ni waelewa sana na huwa hawampigi mtu bure bure tu Bila sababu za msingi, kama hii ingekuwa ni kweli naamini ingekuwa tayari imeshatoka kwenye vyombo vya habari kwa jinsi wanajeshi walivyokuwa hawapendwi.
Hii habari bado SIIAMINI
Nataka source ya kuaminika kuhusu hii habari, maana hata huku mtaani wengi tu wavuta bangiwanajeshi wengi wavuta bangi habari ndio hii imetoka sasa
tma kuna nini kwani?Bora ningeambiamwa kikosi cha oljoro lakini sio TMA
ni kweli mtaani wengi ni wavuta bangi wanajeshi wengi ni wavuta bangiNataka source ya kuaminika kuhusu hii habari, maana hata huku mtaani wengi tu wavuta bangi