Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,369
- 29,602
Habari imekaa kimbembea ...
That's ma girl... Always "on point"Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga
:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga
:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga
:Neema ni binti shujaa
Period
au labda kaliwa hataki kusemaPorini pale wakataka kumndoa eti akakataa? Acheni uzushi huyo ajieleze vizuri aache kuwachafua askari wetu.ninavyopajua pale swala akikatiza kama ni kuliwa ataliwa tu na hatapona !
Bado linagonga vichwa halijapotezewa mkuu.Ulimaanisha mtambuka vipi....make mubashara hapa kama sikuelewi
wanajeshi wangapi? waliwezaje kumpiga wakashindwaje kumbaka? aache uongo aseme tu kapewa kipigo
Ukute wamembaka huyo unajua, mwanamke ukibakwa kusema hadharani ni aibu unaishia tu kusema wamekupiga basi, wajeda wenyewe jinsi wasivo wazima ni lile gonjwa walah.Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga
:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga
:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga
:Neema ni binti shujaa
Period
Kaka inatoshaa umelijibuu kiutashii zaidhili ni Swali "MUBASHARA" Kabisa Lenye kuhitaji Upembuzi yakinifu hili kubaini Uongo na Ukweli Bg up
Huyo watakuwa wamemdo ila kaogopa tu kusema, hivi ujue wanawake wengi hubakwa na kupiga kimya, tena wanajeshi walivyokuwa wababe hivyo.fine tutumie fact! walishindwaje kumbaka?
kumbaka mtu kunaitaji nini?
Nifaa Usiwe na ushabikii wa kijinsiaa fikiriaa kwanzaaKwako Neema,wewe ni shujaa.
Maumivu hayo uliyoyapata kwa kipigo yana mwisho,ila endapo ungekubali kufanyiwa walichokitaka hakika maumivu na kovu lake lisingefutika moyoni mwako milele.
Hongera [emoji123]
Soo sad, wanalinda vyanzo vya maji ili watu wasiwawekee sumu au ili wasiguse maji yao?Baadhi ya wanajeshi kutoka kikosi cha TMA Monduli wanaolinda chanzo cha maji katika kijiji cha Olgilai Arumeru wamemtesa kwa kipigo msichana Neema Alfred baada ya kuwakatalia tendo la ndoa walilohitaji baada ya msichana hiyo kupita eneo hilo wakati akitoka kuokota kuni.
View attachment 444616
Inaonesha wao hawakutaka kubaka ila wapewe kwa utaratibu wa hiariwanajeshi wangapi? waliwezaje kumpiga wakashindwaje kumbaka? aache uongo aseme tu kapewa kipigo
Bakiza akiba ya maneno hii habari haijajitosheleza
Inatia shaka askari wampige mdada? Ngumu
Kama kweli walimpiga anza kuwaza yafuatayo
1. Alijibu nyodo baada ya kupita njia au sehemu asiyoruhusiwa kupita kwa wakati huo
2. Yaweza kua alipita na mtu wake na wakajibu nyodo kwa askari ndo wakapewa adabu kidogo.
3. Kadundwa na mtu wake ambae ni askari
Kwa kawaida askari akiwa zaidi ya mmoja ni ngumu kumshambulia raia hasa mwanamke bora angekua mwanaume, sheria za kijeshi ziko complicated sana askari hawezi kumshambulia raia bila sababu maana kufanya hivyo ni kujitia risk kwenye kazi yake
Awwwwww thank you sweetheart [emoji8] [emoji120]That's ma girl... Always "on point"
Well, said.. Sio kwa miakili hii [emoji1]