Watu wanawatafuta uchokozi maksudi!!hili ni Swali "MUBASHARA" Kabisa Lenye kuhitaji Upembuzi yakinifu hili kubaini Uongo na Ukweli Bg up
Maana ya neno mubashara ni sawa na live kwa kiingereza,sijui hapab) umelitumiaje?
Kwani kuna askari ambaye anakwenda kazini bila kupangwa? Kama ni kweli tutachukua duty roaster na kujua nani alikuwa zamu siku ya tukio na tukisha wapata,tutafanya identification parade kujua kama mhanga anawakumbuka hata katika kundi la watu tofauti tofauti,akiwatambua wahusika wenyewe,tunafanya ruling kuwa ni kweli alifanyiwa. Failure to that ndio tutaanza maneno yasiyokuwa rasmi kuhusu kashfa hii. Waambie Polisi wakishindwa upelelezi waniite niwasaidiewanajeshi wangapi? waliwezaje kumpiga wakashindwaje kumbaka? aache uongo aseme tu kapewa kipigo
Unakuwaga na akili lakini wakati mwingine ni poyoyo wa kufikirisha ubongo, ingependeza ungepewa wewe kichapo hiki na mumeoTutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga
:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga
:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga
:Neema ni binti shujaa
Period