Wanaita ndoto nyevu, ni sayansi inayochochea kuzini na mapepo

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa.

Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo wakiwa wamelala. Kijana anaona msichana mzuri, amevua nguo na kisha analala naye akiamka anachukulia jambo hili kirahisi akijua ilikuwa ndoto, na anapata kukumbuka elimu ya biolojia aliyofundishwa kwamba ni jambo la kawaida.

Hii sio kawaida kabisa sababu hapa pepo anayekuja kama msichana baadaye huwa sehemu ya maisha ya huyu kijana na baadaye bila kujua, suala la mahusiano ama tendo la ndoa huweza kuwa na shida kwake.

Ni mlango rahisi sana wa kupita kwa pepo mahaba na kuwa sehemu ya maisha ya vijana.

1624453825433.png

 
Enzi zangu hi kitu ilikuwa tamu sana, tena ndoto ikija unaanda na mazingira kabisa na linakuja kwa nguvu zote. Hi kitu ni sayansi ya mwili.
Ukikaa muda mrefu bila sex, siku za mwanzo utapiga hizi bao za usiku baada ya mwili kukubali hali uliyonayo uzalishaji wa sperm unapungua sababu hazitoki, hapo hautapiga mabao usiku, ikitokea umetema mzigo inakuwa nadra sana kutokana na mazingira ya siku hiyo.
 
Bao la ndoto nyevu ni tamu kuliko lile la papuchi halisi....

Anyway viongozi wa dini acheni kukihusisha kila kizuri na shetani au pepo.....Mungu ndiye aliyeumba mwili wa mwanadamu na mabadiliko yake.
Hahaa kijana hujui athari zake
 
Hii ni elimu nje ya sayansi
Tafuta wa kuwadanganya huko vijijini! Hapa unapoteza muda na Imani yako kwa maruhani na majini yasiyokuwepo!
Ikikupendeza go back to school ukasome upya huenda ukanishukuru kimoyomoyo!
 
Unafanyaje ili kujinasua.
Christians wanaomba toba na unafunguliwa: mtu asiye na imani ama mwenye imani nyingine solution ni kuikataa hiyo ndoto sbb hii spirit ili iendeleze madhara yake inakuwa kama mke. Na inakuwa na wivu kabisa unapokuwa na mahusiano na mwanamke mwingine including your wife.
 
Back
Top Bottom