Sababu zako tumezisikia lakini kumbuka kuwa makampuni yote ya simu za mkononi yamekuwa yakishindana na Vodacom kwa sababu Vodacom wamekuwa na subscribers wengi zaidi.
Mbali ya hayo hapo juu, kwa mazingira yalivyo hapa JF, mwanachama yeyote anaweza kuingia hapa hata akiwa na interest na makampuni mengine akaweka taarifa yeyote ambayo ataona ni detrimental kwa mshindani wake tofauti na vile ambapo angeweza kujitokeza wazi bila ya kificho.
Mwisho, uamuzi wa kununua bidhaa au huduma haulinganishwi na bei tu pekee bali pia ubora wa biadhaa au huduma ile.
Kwa vile wewe si Mwanakijiji, mimi nimetoa maoni yangu based on what Mwanakijiji has reported as of this time I am contructing this post. Ninategemea ataendelea kutoa hiyo habari katika staili yake mpya ya piece-meals kama ambavyo alivyoanza kujijengea utaratibu huo wa ku-beep.