KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 161
- 26
Huyo Mr.Mzumbe kiswahili chenyewe kinamshinda!anatudhihirishia ukilaza wake!hakuna haja ya kubishana nae,ila ukweli anaujua na ukweli wenyewe ni kwamba Udsm inachukua na inatoa the cream of Nation.
ofcourse watendaji wote wanaoendesha hii nchi wanatoka udsm, no wonder nchi haina maendeleo, ufisadi umekithiri, so wat can u expect from udsm products