Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

mtoa mada umechokoza vilaza wa UDDHM unaona wanavyokushambulia, uddhm vilaza kwl hawasom changes in time, bado wanaishi enzi za mwalimu

Eti wenyewe wanasema chuo cha kiumeni!!kiumeni ndio migomo hisiyokuwa na msingi??
Kama mwisho wa mgomo ni mazungumzo,kwnni musianze na mazungumzo kwanza!!AU munaona raha kugoma!!NYAMBAFU NYIE...
 
Kweli udsm vilaza, maana viongozi wengi wa Tz wamepitia hapo. Tena hata mivilaza iendayo kwa jina la wakuu wa vyuo nahisi shahada ya kwanza waliipata hapo udsm.
 
hawa vilaza bado wanaishi enzi za chuo kimoja/enz za mwalimu

UD kimebaki jina tu!!Zamani nilikuwa UD ndio kila kitu!lol...!mtu huwezi kwnda mpaka upige one kali,kumbe si lolote c chochote....!!wana kibao wana 3point15 wapo hapo wanafanya harakati za migomo.ETI WANA HARAKATI,nalo hili limo kwnye harakiti?kwli bongo hatuna wana-harakati.UDSM KWISHA HABARI YAKE....hata cku moja siwezi kumshauri ndugu yngu kuja-kusoma hapo...atamaliza degree lakini kichwani Mweupe mweupe mweupe.
 
Mtoa Mada ni mfupi wa kuelewa mambo, hata kama kuna uovu unafanyika huwezi kusema watu wote waliosoma au wanasoma UDSM ni vilaza. Kwa ninavyojua ni kwamba kabla ya mpango wa TCU kuenroll wanafunzi kwa mfumo wao "the cream wengi waliomaliza form six with few exceptions....walikuwa wanakwenda kusoma pale UDSM,,, i think hata wengi wanao:yawn:pita hapa JF wamepita pale kwa imani kuwa they were fully aware kuwa wamefanya kazi nzuri kule form six....thus deserved to join UDSM..." Anyways, ulichoandika ni mawazo yako tuuuu...!!
 
Kama tulioko udsm ni vilaza,bac vyuo vingne kuna vilaza square..mana vipanga wote tunaopga fresh form 6 tuko udsm, na wachache wako muhimbili..huko kwingne ni makapi tu.

mkuu umeongea ukweli wanaopiga fresh Tz wako UDSM NA MUHIMBILI wengine ni mburula na viraza wasilete giza humu
 
Kwa mfano nina div 1 ya 3 nataka nisome masomo ya Agriculture unadhani nitaomba UDSM!?

unabisha nini chuo chako hakiko hata kwenye African university rank academic performance ipo Udsm NA MUHAS
 
UDSM moja ya chuo kinachoongoza ku-enroll wanafunzi kwa vi-memo..ha ha ha ha UD BANA
 
UD kimebaki jina tu!!Zamani nilikuwa UD ndio kila kitu!lol...!mtu huwezi kwnda mpaka upige one kali,kumbe si lolote c chochote....!!wana kibao wana 3point15 wapo hapo wanafanya harakati za migomo.ETI WANA HARAKATI,nalo hili limo kwnye harakiti?kwli bongo hatuna wana-harakati.UDSM KWISHA HABARI YAKE....hata cku moja siwezi kumshauri ndugu yngu kuja-kusoma hapo...atamaliza degree lakini kichwani Mweupe mweupe mweupe.

una uhakika usilete habali za mitaani hapa imebaki jina kivipi
 
Nafurah kupita udsm,na najivunia sana sitapasahau na ntapaheshm udsm hata niwe wapi,next kaming yearz ntarud inshallah!
 
una uhakika usilete habali za mitaani hapa imebaki jina kivipi

Kujisemea bibi faizafoxy "UNANICHEKESHA" kwn wewe uhoni??au sio mdau wa elimu wewe??wadau wote washaelewa ninachosema!kama wewe bdo "KALABAO"
 
Nafurah kupita udsm,na najivunia sana sitapasahau na ntapaheshm udsm hata niwe wapi,next kaming yearz ntarud inshallah!

Wewe rudi tu!!kama kwa level ya master...utajuta kwa nini umelipa fedha zako!!na master ilivyokuwa fupi!!nakuhakikishi mkubwa kwnye semester 4 utasoma semester 2 tu!
 
Kwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki zao!!lakini hakuna!!hii itakuwa enrollment ya VILAZA i.e SENETOR na wengineo,hawa ndio haswa wanasababisha chuo kisitawalike.
As-salaam alykum VILAZA WOTE WA UDSM.

Nadhani wewe ndio utakuwa kilaza no. Moja.Hivyo vyuo vyenu vya kata hamna ubavu wa kudai haki zenu kwa njia yoyote ile kwasababu kwanza asilimia kubwa mnapata udahili kwa njia za panya (hamna sifa).So mnaogopa kudai haki yenu hata kama mnadhulumiwa.Ujifunze jinsi ya kuleta hoja hiyo itasaidia kukipa status chuo unachosoma.Upupu uliouandika hapa unaonyesha dhahiri uelewa na taswira ya chuo ulichopo.Wanafunzi wa vyuo Uingereza walipokuwa wanagoma 2010/2011 kuhusu ongezeko la ada nao walikuwa vilaza kushinda chuo unachosoma .!Ama waadhiri wa Makerere walipogoma takribani mwezi 1 2011 wakidai haki yao wao pia ni vilaza....
 
Sema sababu zinazowafanya mugome mara kwa mara!!
Migomo ya UD inaitwa "migomo rukia" yaani "migomo inapanda panda tu" mara kile,mara hki.Ili halijakwishwa wala hakuna statement ya kumaliza badala ya vilungu na mabomu..kesho wanarudi chuoni...kwesho kutwa migomo mwingine na dhamira tofauti na wakwanza!!duuuh....hii mijamaa wala siisomi mm..
 
unabisha nini chuo chako hakiko hata kwenye African university rank academic performance ipo Udsm NA MUHAS

Mkuu unafurahia kuporomoka kwa elimu UD? Kwenye hizo rank unazozungumzia kaangalie trend ya UD toka 2005 je kinapanda au kinashuka ndo utapata jibu
 
Mnaboa na haya mabishano yasio na msingi ... Wengine tuko mbele huku tumeona mavyuo ya maana yenye labs zilizokwenda shule kuliko UDSM ambayo kama ukiibeba na kuileta huku haina tofauti na high school. .. mi mdogo wangu wa kike kipindi kile watu wanafanya mtihani ili kuingia chuo alipata UDSM na UDOM... Alipiga chini UDSM na kukimbilia UDOM ... So ni mapenzi ya mtu asome wapi

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk

huyo alikwenda udom kwa uoga wa nyanga za UDSM,hakuna mchezo pale
 
mimi nadhani mwanzisha mada na wote wanaomsupport wana chuki binafsi.Wewe kama haupo UD inakukera nini wakigoma? uzuri na ubaya wa wana UDSM utaonekana kwenye soko la ajira.Muache unafiki.
 
Eti wenyewe wanasema chuo cha kiumeni!!kiumeni ndio migomo hisiyokuwa na msingi??
Kama mwisho wa mgomo ni mazungumzo,kwnni musianze na mazungumzo kwanza!!AU munaona raha kugoma!!NYAMBAFU NYIE...

Acha kutumia lugha chafu,na uwe unasema vitu ambavyo una ushahidi navyo.Hata siku moja wanafunzi wa pale hawagomi labda kama mazungumzo yameshikana.Na ni mwaka upi wamesoma miezi 2 tu katika semester.Wewe una chuki na UDSM
 
Huyo Mr.Mzumbe kiswahili chenyewe kinamshinda!anatudhihirishia ukilaza wake!hakuna haja ya kubishana nae,ila ukweli anaujua na ukweli wenyewe ni kwamba Udsm inachukua na inatoa cream of the Nation.
 
Back
Top Bottom