Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Kwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki zao!!lakini hakuna!!hii itakuwa enrollment ya VILAZA i.e SENETOR na wengineo,hawa ndio haswa wanasababisha chuo kisitawalike.
As-salaam alykum VILAZA WOTE WA UDSM.
 
kama vilaza wanakuwa enrolled UDSM, Je vyuo vingine watakuwa wana sifa gani? kwani waliofaulu vizuri wote sekondari wako UDSM na wale walioshindwa ku-compete UDSM ndiyo wako huko kwingine hapa TZ.
 
Mmmh! Ama kweli jina la mtoa mada linajieleza maana wao bado wako sekondari hata haki zao za msingi wanaogopa kudai kisa fimbo na suspension.
VIVA UDSM
 
kama vilaza wanakuwa enrolled UDSM, Je vyuo vingine watakuwa wana sifa gani? kwani waliofaulu vizuri wote sekondari wako UDSM na wale walioshindwa ku-compete UDSM ndiyo wako huko kwingine hapa TZ.

Una uhakika wanaofaulu wote wanaenda UDSM au claim!? Fanya research kidogo sasa hivi ni nani anaye enroll wanafunzi kwenda vyuo.
 
Kama tulioko udsm ni vilaza,bac vyuo vingne kuna vilaza square..mana vipanga wote tunaopga fresh form 6 tuko udsm, na wachache wako muhimbili..huko kwingne ni makapi tu.
 
Kama tulioko udsm ni vilaza,bac vyuo vingne kuna vilaza square..mana vipanga wote tunaopga fresh form 6 tuko udsm, na wachache wako muhimbili..huko kwingne ni makapi tu.

Kwa mfano nina div 1 ya 3 nataka nisome masomo ya Agriculture unadhani nitaomba UDSM!?
 
Ni TCU lkn si wanaangalia options zako?

Basi jibu unalo wanaangalia option zk, swala la waliofaulu vzr ndo wanaenda UDSM linatokea wapi ka hata km alifaulu vizuri na m2 hakutaka kuomba UDSM!?
 
kijana naona unatafuta watu watambue chuo chako kwa nguvu!! huwezi kubadili hilo hasa kwa wakati huu kabda baadae utaweza!! ila kwa sasa top cream karibu yote ya ufaulu kidato cha sita wanaenda UDSM wachache saana kati yao ndo wanaelekea pengine na wale wenzangu na miye wengi ndo wanamwagika vyuo vingine!! so uwe makini unapozungumzia kilaza una maana gani hasa.... na hasa. ukilaza na kugoma vinaendaje endaje? kwa hiyo unatuambia kuwa walimu, madaktari na wengine wanaogoma vilaza?
 
Songíto;3104392 said:

Mkuu ka umenizungumzia mimi sijataja chuo nilichosoma sehemu yyt kwny post zng, na hata wakitambua haitanisaidia chochote ila Jaribu kusoma n kuelewa fact nilizotoa.
 
Kwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki zao!!lakini hakuna!!hii itakuwa enrollment ya VILAZA i.e SENETOR na wengineo,hawa ndio haswa wanasababisha chuo kisitawalike.
As-salaam alykum VILAZA WOTE WA UDSM.
Jiulize swali moja rahisi tu, kama udsm wame-enroll vilaza je vyuo vingine watakuwa wame=enroll watu gani? ukiona mtu kipanga halafu hachagui first choice udsm course ambayo udsm ipoi ujue anafikiri kwa kutumia "Masaburi" huyo
 
Wewe +255;
ulishawahi kusikia kuna mwalimu kaazimwa kutoka chuo kingine kuja udsm part-time? Then angalia hivyo vyuo vingine part-time wanawatoa wapi? Na kama ni mikoani, vyuo hivyo vinaingia gharama kubwa sana kuwasafirisha na kuwatunza hao waalimu wa udsm. Hii inamaanisha nini kwako? Haya mfano tu mdogo; nenda udbs kwenye b.com (with exception of b.com in tourism-ambayo ni case nyingine) progaramme na angalia qualifications za wanaopewa admission halafu uende kwenye vyuo vingine na uangalie pia qualifications zao.

Wengine tunakimbilia kwingine kwani ushindani wa pale hatuuwezi bwana? Na tukikomaa pale tutakosa admission, hivyo kama mambo hayajakaa vizuri naamua kukimbilia kwingine.
 
mtoa mada umechokoza vilaza wa UDDHM unaona wanavyokushambulia, uddhm vilaza kwl hawasom changes in time, bado wanaishi enzi za mwalimu
 
mtoa mada umechokoza vilaza wa uddhm unaona wanavyokushambulia, uddhm vilaza kwl hawasom changes in time, bado wanaishi enzi za mwalimu

wewe ndiyo hata uelewi unachosema. Hizo chnges with time unazoongelea kwasasa tz bado hazijafikia kiwango unachofikiria. Wewe nawe unataka tu kuvutia kwako huko ulikopitia ambapo waalimu karibia wote wamepitia pacific university (un-accredited university). Siyo mbaya wewe tetea kile ulichopitia lkn ukweli hata moyo wako unaujua?
 
pole sana kijana ndo mnadanganyana hapo kichuguuni oh sory hapo mlimani, ingia mtaani uone hali ilivyotofauti
 
Ulizia last qualifications walizokuwa wanaingia nazo watu wa BAF Mzumbe na B.com ya UDSM kwa kipindi kile vyuo vina enroll vyenyewe..Hoja yenu ingekuwa na mashiko ka UDSM wangekuwa wanatoa kozi zote, Kama nimefaulu vizuri na kozi ninayoitaka ipo chuo flani ni lazima niende UDSM?! Mfano. UDOM wanatoa digrii ya Softwares Eng. na sidhani kama kuna chuo kingine Tz kama kinatoa, sasa nimeipenda nitafanyaje?!
 
wewe ndiyo hata uelewi unachosema. Hizo chnges with time unazoongelea kwasasa tz bado hazijafikia kiwango unachofikiria. Wewe nawe unataka tu kuvutia kwako huko ulikopitia ambapo waalimu karibia wote wamepitia pacific university (un-accredited university). Siyo mbaya wewe tetea kile ulichopitia lkn ukweli hata moyo wako unaujua?

pole sana kijana ndo mnadanganyana hapo kichuguuni oh sory hapo mlimani, ingia mtaani uone hali ilivyo tofauti
 
Ulizia last qualification walizokuwa wanaingia nazo watu wa BAF Mzumbe n B.com ya UDSM kwa kipindi kile vyuo vina enroll vyenyewe..Hoja yenu ingekuwa na mashiko ka UD wangekuwa wanatoa kozi zote, narudia tena ka nimefaulu vizuri n kozi ninayoitaka ipo chuo flani ni lazim niend UD?! Mf. UDOM wanatoa dgr ya Softwares Eng n sidhani ka kn chuo kingn Tz ka kinatoa, n nimeipenda nitafanyaje?!

hawa vilaza bado wanaishi enzi za chuo kimoja/enz za mwalimu
 
Back
Top Bottom