Wewe rudi tu!!kama kwa level ya master...utajuta kwa nini umelipa fedha zako!!na master ilivyokuwa fupi!!nakuhakikishi mkubwa kwnye semester 4 utasoma semester 2 tu!
mr mzumbe mbona watu wana'graduate mastaz had PhD?vitisho vya nini
Wewe rudi tu!!kama kwa level ya master...utajuta kwa nini umelipa fedha zako!!na master ilivyokuwa fupi!!nakuhakikishi mkubwa kwnye semester 4 utasoma semester 2 tu!
Kaka unatisha watoto na muhuri wa incredible s hapo via tapatalk, hawa washazoea kupigania sifa za chuo, wamesahau elimu ni uwezo na sio cheti,, yaani katika pilika pilika za maisha niliingia university moja hivi huko kwa dunia ya kwanza, nikasema bongo tunacheza hakuna shule, yaaani hiyo research centre inavyowaka na ma mitambo kibao juu sielewi ni minara ya simu au ndo satelite
za kutembelea mwezini, madogo nawaombea mje kupata kazi nzuri wote zitazowafanya mtembee muione dunia ndo mtajua kama mzumbe, udsm,udom ni chuo au vilabu vya pombe za kienyeji..
sent from my nokia torch chinese version via chumchong
hakuna kipanga anaepga fresh namna hyo afu afikirie kusoma masomo ya kijinga ka hayo.
someni..muache tabia ya kubishania vyuo instead masomo..makes no sense!..kama unataka chuo bora try havard
Wee ndo kilaza. hao 61 wanatoka kwenye chuo chenye wanachuo 18000 ambayo ni 0.33% wakati wale 18 wanatoka kwenye chuo chenye wanachuo 5000 ambayo ni 0.36%, je huoni kuwa Mzumbe ndo imefanya vizuri kwenye NBAA? au kwasababu hesabu zinakusumbua.We Mr.Mzumbe ukitaka kujua watoto wa Udsm ni noma ebu google NBAA then tazama mwaka 2010 na 2011 ni chuo gani kimetoa wanafunzi wengi wenye CPA..KILAZA WEWE 1.udsm (61) 2. Mzumbe(18)
Achana nae huyo! watu wanaodharau kozi zingine ni kwasababu hawana exposure ndugu. Na hao ni wengi sana ktk nchi hii ndo maana ufinyu wa mawazo huu hauishi. Angalia mfano huu: Wakati nikiwa Kibaha kulikuwa na combi tatu PCB, PCM na CBA, sie tuliokuwa tunasoma PCB na PCM tuliwadharau sana watu wa CBA kutokana na kukosa exposure kwetu lakini sasa huwezi kuona tofauti ktk misingi ya combi, kuna waliokuwa CBA lakini sasa wana maisha mazuri mno na kuna waliosoma PCM na PCB wanafrustration maana wakiwaona waliokuwa CBA lakini wako juu wanachanganyikiwa.[ha ha ha]kwanza mulize hiyo 1 ya 3 ya kombi gani mpaka mtu akasome kilimo, kwanza agriculture ishafutwa.
Mkuu unaweza kweli ukawa unadefend chuo ulichosoma ila si busara kuharibu sifa ya vyuo vingine,ongea vitu ukiwa na fact si ushabiki wa mtaani bwana,una fact kwamba kilimo kimefutwa,dont be a fool
Tuache kuongea ushabiki bwana, wnafunzi wote wenye ndoto za kuwa wataalam wa biashara na public admnistrationI'm afraid you are wrong! Come up with a stronger argument or atleast support your argument with evidence.
Wee ndo kilaza. hao 61 wanatoka kwenye chuo chenye wanachuo 18000 ambayo ni 0.33% wakati wale 18 wanatoka kwenye chuo chenye wanachuo 5000 ambayo ni 0.36%, je huoni kuwa Mzumbe ndo imefanya vizuri kwenye NBAA? au kwasababu hesabu zinakusumbua.
[Biera] We Mr.Mzumbe ukitaka kujua watoto wa Udsm ni noma ebu google NBAA then tazama mwaka 2010 na 2011 ni chuo gani kimetoa wanafunzi wengi wenye CPA..KILAZA WEWE 1.udsm (61) 2. Mzumbe(18)
dah mkuu umenichekesha sana wewe ni wale wanaosema kilo ya mawe ni nzito kuliko kilo ya pamba,coz umekariri 61 out of how many? na 18 out of how many?mi najua course za ud zina mtu shazi hao 61 ni 0.0000x ya course zenu hizo zenye watu kibao,unawatia aibu watoto wa ud wenzio,fool
Siamini kama kulipua utawala ndio mawazo sahihi hata kidogo!!!Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue uta ningelipua makazi ya mkandaranilipanga nilipue utwala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez