Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira


Haya yote si kweli. Kwa taarifa yako nina ndugu yangu toka nitoke, mfanyakazi wa UDSM anasoma Masters UDOM. Huyu naye ni kilaza? UDSM inamlipia kila kitu. Pale bwana kuna walimu wenye PhD toka Urusi, India, Kenya, Ulaya na Nigeria na Watanzania waliotoka vyuo vingine. Wanao pia wanafunzi wa PhD. Ami yangu na dada zake wawili wamemaliza mwaka jana UDOM mmoja yupo VodaCom, wawili wameajiriwa Arusha kwenye mashirika binafsi. Acheni chuki zisizo na maana. Hata hivyo UDOM ni chuo kichanga sana lazima kitakuwa na changamoto nyingi.
 


Hii research yako inawezekana ni ya kufikirika.....Udom wamefanya graduation mwezi december.....bila shaka walimaliza mwezi June/July 2010.Kwa upatikanaji wa ajira tanzania,ni fani chache sasa unazoweza kupata kazi mara baada ya kumaliza chuo....Iwe umemaliza UDSM,ARDHI,UOA,TUMAINI,SAUTI au pengine popote,lazima usage sory tu ndo upate ajira.We fikiria hata walimu waliokuwa wameahidiwa ajira ya moja kwa moja na serikari bado wanasaga sori mpaka sasa....ije iweje watu km ma-PUBLIC ADMNISTRATORS,ma-SOCIOLOGIST,ma-HRM, n.k...............

MKUU,TATIZO SIO UDOM WALA UDSM,TATIZO NI MFUMO WA AJIRA HAPA BONGO NI MBOVU SANA....KUNA WATU WANASOMA NA HAWAFANYI KILE WALICHOSOMEA MAISHANI....MAISHA NI MAGUMU BONGO.
 
kweli maana ya utafiti ni finyu kwa waliowengi sasa kwa staile hii mtu an aweza fikiria hata kwamba choo chake kimebomoka?
 

naungana nae kwa asilimia laki tatu kama mshahara wangu. Ni kweli bongo ajira ngumu. Pia wahitimu wa vyuo so far hawakuwa na transcript na ilikuwa tatzo sana. Pia ajira kujuana sana. Mfano exim ukiwa kabila flan umeula, na Std Chartered bank policy kabla ya 2009 walikuwa wanabeba graduates Mzumbe na Udsm tu bt mwaka 2009 Hr ambaye mwandani wake alihama toka Std tz,kwenda std chartered bank kama sikosei alienda Arabuni,aliondoka na mwanandani wake ambaye alikuwa profesa mliman. Tangu apo iyo benk imeanza ajiri watu wa IAA,IFM na CBE,hapa tusibishane,saka ukweli upate jibu. Pia utagundua wote walio pale bank temporal na contract kwa sasa ni ifm 95%. So system za ajira ngumu.
 

Inawezekana ni ndugu zako ndo hawajaajiriwa..poleni!..Kumbe ukoo mzima vilaza!
 
Kma maneno yangekuwa yanaua, UDOM ingesha kufa ktambo; maana du! Kila mwnye lake anasema, mara oh chuo cha (kata,ccm,yeboyebo) n.k hyohuyo ukimuuliza why do u call chuo cha kata? hana jib au atakuundia majbu yasiyo na uhakika na anajiita 'GREAT THINKER' ndo hawa sasa wanaleta unproved topix on Udom, je tunaowafaham wamehtim Udom na wameajiliwa unawazungumziaje? au ulitaka wahtim wote udom wawe na ajira kfikia sasa, au uliandika topic uone tutachangia nni. Udom vumilieni changamoto hizi, chuo bado kichanga ndiyo maana kila mmoja anajifanya ana la ksema juu yake.
 

we unahisi sulhisho nini tuelekee nelson mandela university arusha
atleast una uhakika wa kazi mpaka south ukimaliza kazi kwako
 
Watakuwa wamefundishwa kujiajiri. Kwani kila anaemaliza lazima akaajiriwe?
Kwanza ajira zenyewe ngumu ngumu siku hizi.
 
Dogo punguza ubabaishaji wa kuanza ingiza siasa kwenye taalum,mi ni mmoja kati ya waitimu wa udom kwa sasa nipo wizara ya afya napga mzigo kama kawa....napewa masifa kila siku na boss wangu kazi yangu ni ya ukweli.
 
Mimi nafikiri UDOM mwaajiri wao ni CCM,kwa hiyo ni vizuri wakalalamika kwa Makamba kuwa wamechakachuliwa ajira zao
 

Mnanikatisha tamaa, nilikuwa nafikiria kuja nyumbani na nitafute kibarua huko. Nimemaliza BBA (Fin.) pale Georgia Institute of Technology/Ga Tech. Kwa mtaji wa ajira huko nyumbani mnaousema, je niendelee kupiga box?
Ushauri please!!
 
Mnanikatisha tamaa, nilikuwa nafikiria kuja nyumbani na nitafute kibarua huko. Nimemaliza BBA (Fin.) pale Georgia Institute of Technology/Ga Tech. Kwa mtaji wa ajira huko nyumbani mnaousema, je niendelee kupiga box?
Ushauri please!!

piga box ukipata mtaji urudi ujiajiri.
Nakushauri uanzishe thread yako ili upate maoni ya wengi.
 
kila mtu ana huru na ubongo wake so acha kila mtu atoe mawazo yake kikubwa wewe binafsi ni kupembua lipilinaukweli.. kuna vijana tuanawafahamu tena kwa majina wamegraduate UDSM toka 2005 na mpaka leo wanazunguka na bahasha ya kaki hakieleweki
 
yah mwanzo mzuri kwa vijana wetu kuanza kufikiri zaidi kujiajiri kwani kuna fursa nyingi sana tanzania tuanze kuzitumia
 
Hivi hawa walimu ambao bado hawajapewa ajira pamoja na kuahidiwa ajira wakati wanajiunga na mafunzo ya uwalimu tuseme nao wamesoma UDOM??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…