Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

Watu bana.Mtu kaweka kero yake mnaanza kuponda.Inaelekea ndio tabia zenu manake mnaacha kujadili mada mna jadili mengine
 
Nashangaa watu wanapinga kwamba hiyo tabia haipo.. Ila dada zetu wa kibongo wanashindwa kuvumilia umaskini wanataka wakimbie na maisha yanatrmbea
 
teh teh teh teh kuna siku mlikuja mkatoa tofauti kati ya wanawake wa UDSM na UDOM. na mkawasifu sana wanawake wa udsm kua ni high quality wanahitaje mambo makubwa, leo imekua pesa ya lunch wanaomba, nauliza ilikuaje au mlikurupuka tu siku ile kwa kua mnaipenda UDSM?
 

mbona una penda ku generalize wanafunzi sita tu ndo uje kuzalilisha wote huku kwanza mwenyewe una create condition ya wao kukuomba namba kwa hyo wewe ndo unajiona eti wanataka namba mbona wengne tuna waona na hawana hzo tabia usione watano uka generalize
 
Sishangai maana kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa kike wanasoma hata boom hawana na wanatokea familia maskini.Lakini na wewe jifunze kuandika kifasihi sio lazima kila mtu ajue unasoma Masters UDSM.

bora umemwambia anapenda kujisifia inaonyesha hata mi na marafki hawana boom wanajiheshimu tu yeye anakuja na generalization
 
...Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters....
Daah, kumbe ninapitwa na mambo mazuri kwa sababu tu ya kujichimbia library. Kuanzia kesho narudi uwanja wa nyumbani hapo PB 07, mimi nawatafuta sana wa hivyo. Kesho ukiona mtu anazugazuga na kilaptop humo ujue ni mimi!
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu hapo nadhani pia ni chanzo, maana inaonekana utakuwa unaweka mazingira mwenyewe. Kwa level yako hutakiwi kupumzika hapo, ni kusoma tu, kapumzike UDASA, HILPARK, COET STAFF CAFETERIA n.k
Brajec
 
Piga tu
 
Nina mashaka na mleta mada!!! Kwa tuliosoma pale recently hayo hayapo!!
 
Mkuu wewe ni MHAYA nini. Maana lengo la hii thread yako ni kutujulisha kuwa unasoma Masters UDSM. Ungepata sponsorship ya kusoma nje ya nchi sijui ungeweka kipasa sauti huko barabarani. Maana msichana yeyote hawezi kuomba namba ya simu kama wewe mwenyewe hujamchekea chekea.
 
Nina mashaka na mleta mada!!! Kwa tuliosoma pale recently hayo hayapo!!
Mkuu huyo jamaa ni MHAYA na alitaka kuwajulisha wana jf kwamba na yeye anasoma Masters UDSM. Si unajua tena WAHAYA wanavyofikiri kuwa Masters is a big deal while it is as good as a graduate.
 

Mhhh ukweli unauma.....ndivo walivo acha wapewe makavu yao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…