Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
kamata fursa naWakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.
Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.
Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!
GEGEDAAA

