dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
hamna hata harufu ya ukwel hapa
Wakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.
Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.
Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!
Mhhhh....sidhani kama kuna ukweli katika hili....we ninani hadi utongozwe na wanawake watano???
jamani.....

Asante ndugu maana ni kama anajitapa masters? yeleuwiii

COET Block P? hata mimi hapo nimebaki na mshangaoMimi ndo nimechanganya au? Hivi COET kuna block ya kujipumzisha kweli! Block P?
Mtua ataendaje kujipumzisha darasani ??? Anatafuta nin wakati wenzake wanasoma?? Huyu anaenda kutega tu....kapumzike UDASA au uwanjani kule.....Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu hapo nadhani pia ni chanzo, maana inaonekana utakuwa unaweka mazingira mwenyewe. Kwa level yako hutakiwi kupumzika hapo, ni kusoma tu, kapumzike UDASA, HILPARK, COET STAFF CAFETERIA n.k
katika hao 6 mie ni mmoja wapo!!!!!!!
msomi wa kihaya umekuja kutusema huku JF
Mkuu huyo jamaa ni MHAYA na alitaka kuwajulisha wana jf kwamba na yeye anasoma Masters UDSM. Si unajua tena WAHAYA wanavyofikiri kuwa Masters is a big deal while it is as good as a graduate.
Washitakie kwa mzee punch watakomaWakuu,