Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

unataka tukupongeze au? Basi hongera.
 
Baada ya kujadili mada na kutoa suluhu unasema kwamba anaharibu sifa ya chuo?ipo siku utaambiwa na wazee Mama yako akiwa kijana alikuwa shangingi au kahaba na utabisha bila kuwa na sababu mathubuti,Pum ba Vu.think critical without bias
 
Wakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.

Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.

Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!

Hongera kwa kufanya Masters. Nimeambiwa Masters za siku hizi ni kama certificates za VETA miaka ya 70. Inawezekana ikawa kweli au uzushi?
 
Hongera kwa kufanya Masters. Nimeambiwa Masters za siku hizi ni kama certificates za VETA miaka ya 70. Inawezekana ikawa kweli au uzushi?

mtu wa masters anashindwa i handle ishu ndogo kama hiyo, anaileta hapa,, mwanamume !!?
Wonders!!
 
Bahati za mtende hizi wengine twazililia yaani ndezi anadondoka miguuni mwako unamwacha!
 
Mkuu tafuta kiroba cha condom uweke rum maana ukianza kuwakubali utazihitaji sana
 
Sishangai maana kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa kike wanasoma hata boom hawana na wanatokea familia maskini.Lakini na wewe jifunze kuandika kifasihi sio lazima kila mtu ajue unasoma Masters UDSM.
 
lazima wewe una qualify kitu
sio kila mtu yanamtokea hayo

na wapo wanaoenda kuwinda hapo na hawapati kitu
 
Naona unatoa matangazo unasoma UDSM masters...

Ila hiyo masters yako ni kama form 4 wa mwaka 85
 
Sishangai maana kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa kike wanasoma hata boom hawana na wanatokea familia maskini.Lakini na wewe jifunze kuandika kifasihi sio lazima kila mtu ajue unasoma Masters UDSM.

Asante ndugu maana ni kama anajitapa masters? yeleuwiii
 
akili kumkichwa anajitaftia soko huyu jamaa hama lolote anataja sifa alozonazo ili madem wajigonge ha ha ha ha tumeshakushtukia
 
Wakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.

Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.

Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!

Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu hapo nadhani pia ni chanzo, maana inaonekana utakuwa unaweka mazingira mwenyewe. Kwa level yako hutakiwi kupumzika hapo, ni kusoma tu, kapumzike UDASA, HILPARK, COET STAFF CAFETERIA n.k
 
Nyenye ndio zawadi yako kijana hayo ndo marupurupu madem siku hizi wanaliwa kwa kutolewa lunch tu
 
Back
Top Bottom