Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

Watu bana.Mtu kaweka kero yake mnaanza kuponda.Inaelekea ndio tabia zenu manake mnaacha kujadili mada mna jadili mengine
 
Nashangaa watu wanapinga kwamba hiyo tabia haipo.. Ila dada zetu wa kibongo wanashindwa kuvumilia umaskini wanataka wakimbie na maisha yanatrmbea
 
teh teh teh teh kuna siku mlikuja mkatoa tofauti kati ya wanawake wa UDSM na UDOM. na mkawasifu sana wanawake wa udsm kua ni high quality wanahitaje mambo makubwa, leo imekua pesa ya lunch wanaomba, nauliza ilikuaje au mlikurupuka tu siku ile kwa kua mnaipenda UDSM?
 
Wakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.

Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.

Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!

mbona una penda ku generalize wanafunzi sita tu ndo uje kuzalilisha wote huku kwanza mwenyewe una create condition ya wao kukuomba namba kwa hyo wewe ndo unajiona eti wanataka namba mbona wengne tuna waona na hawana hzo tabia usione watano uka generalize
 
Sishangai maana kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa kike wanasoma hata boom hawana na wanatokea familia maskini.Lakini na wewe jifunze kuandika kifasihi sio lazima kila mtu ajue unasoma Masters UDSM.

bora umemwambia anapenda kujisifia inaonyesha hata mi na marafki hawana boom wanajiheshimu tu yeye anakuja na generalization
 
...Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters....
Daah, kumbe ninapitwa na mambo mazuri kwa sababu tu ya kujichimbia library. Kuanzia kesho narudi uwanja wa nyumbani hapo PB 07, mimi nawatafuta sana wa hivyo. Kesho ukiona mtu anazugazuga na kilaptop humo ujue ni mimi!
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu hapo nadhani pia ni chanzo, maana inaonekana utakuwa unaweka mazingira mwenyewe. Kwa level yako hutakiwi kupumzika hapo, ni kusoma tu, kapumzike UDASA, HILPARK, COET STAFF CAFETERIA n.k
Brajec
 
Wakuu,
Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza.
Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu.

Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha.

Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!
Piga tu
 
Nina mashaka na mleta mada!!! Kwa tuliosoma pale recently hayo hayapo!!
 
Wakuu, Mimi niko chuoni UDSM nafanya Masters mwaka wa kwanza. Muda mwingi huwa najipumzisha maeneo ya COET block P kwenye room yetu watu wa masters. Kwa kweli nimekua nikikelwa na hawa watoto wa kike kwa tabia zao chafu. Unakuta mtu unajisomea litoto linatoka huko na kuanza kukuomba namba ya simu bila hata salamu. hujakaa sawa atakuomba hela ya lunch, jamani imekua kama ni tabia sasa. Manake tangu jumatatu nimefatwa na wasichana sita wote wakita namba yangu ya simu na kujitongozesha. Ni tabia mbovu sana wakuu na inanikera. Usomi wa hawa watusiuoni kabisa. Ni wiki moja tu imepita wamewekewa boom ila cha kusikitisha wanaomba sana hela. Tena wanajirahisha sana kuhusu jambo la kugegedwa!
Mkuu wewe ni MHAYA nini. Maana lengo la hii thread yako ni kutujulisha kuwa unasoma Masters UDSM. Ungepata sponsorship ya kusoma nje ya nchi sijui ungeweka kipasa sauti huko barabarani. Maana msichana yeyote hawezi kuomba namba ya simu kama wewe mwenyewe hujamchekea chekea.
 
Nina mashaka na mleta mada!!! Kwa tuliosoma pale recently hayo hayapo!!
Mkuu huyo jamaa ni MHAYA na alitaka kuwajulisha wana jf kwamba na yeye anasoma Masters UDSM. Si unajua tena WAHAYA wanavyofikiri kuwa Masters is a big deal while it is as good as a graduate.
 
JJB,kutowaambia huko na kuja hapa kukashifu wanafunzi wa kike wa UDSM ni kukosa ujasiri na kujiamini.Kama wewe ni mwananume usiyekubaliana na hilo,waambie huko huko.Ifikie mahali,msilete ajenda zenu za kitoto hapa.Unataka kuchafua sifa ya UDSM? Kuwa makini kijana

Mzee Tupatupa

Mhhh ukweli unauma.....ndivo walivo acha wapewe makavu yao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom