UDSM hili linawahusu!

UDSM hili linawahusu!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,279
Reaction score
26,754
Wanafunzi wa UDSM hasa Engineering na Law , Tangu wanapoingia mwaka wa kwanza mpaka wanamaliza , wanakuwa wamekula kama unavyoona.

b.jpg
 
Hakika watakuwa wameota na majani ya kisamvu mashavuni.Wakionekana popote pale wapewe pongezi nyingi sana.
 
UDSM nilisoma miaka 4 baada ya kumaliza kuna vyakula sikuweza kula miaka mingi sana
1.chapati
2.mihogo
3.Wali maharage -mpaka leo sipendi
Hupendi wali maharage aka wali kwa maini ya kiswahili?Huna bahati.Huwezi kupata urafiki wa kalamu(pen-pal)na mzee Hashim Rungwe.
 
Back
Top Bottom