Wimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,173
- 6,888
Hicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungu.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shuni zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo